Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,407
- 6,340
Kwahiyo umeforward tu hata we mwenyewe hujaangalia hii videoDereva Wa Gari La Mafuta lilolipuka asimulia kila kitu ajari ilivyoyokea na mpka kunusulikaa
Kwahiyo umeforward tu hata we mwenyewe hujaangalia hii videoDereva Wa Gari La Mafuta lilolipuka asimulia kila kitu ajari ilivyoyokea na mpka kunusulikaa
Ndio ujue akili fupi za watoto wa Nyerere hata kuchanganua kitu kidogo tu kaziMbona hiyo habari haiendani na kichwa cha habari?
Hiii kituu na mm imenishangaza kweli kweli watanzania nan aliyeturoga...[emoji24][emoji24][emoji24]Kwa hiyo kuna wajinga wakaacha dereva anakufa wao wakawa wanabeba mafuta
Anyway wamepata wanachostahili kwa hili sina huruma
Aisee hata kama ni kuiba sawa wangeiba ila wangejali maisha ya wenzao kwanzaHiii kituu na mm imenishangaza kweli kweli watanzania nan aliyeturoga...[emoji24][emoji24][emoji24]
labda kisa kinafanana na movies za final destination,Mbona kasimama au alihojiwa kabla ya ajali?
Halafu ilivyoletwa sheria ya waandishi angalau wawe na degree mkasema mnaonewa [emoji16][emoji16]
Dereva Wa Gari La Mafuta lilolipuka asimulia kila kitu ajari ilivyoyokea na mpka kunusulikaa. aeleze alivyokatika miguu
Umeisikiliza video lakini?Dereva Wa Gari La Mafuta lilolipuka asimulia kila kitu ajari ilivyoyokea na mpka kunusulikaa. aeleze alivyokatika miguu
Kama sikosei huyo ni shuhuda ambaye ni dereva boda boda niliona pia mahojiano na Global tv alikuwa amevaa shati jeupe, nadhani atakuwa ni yeye maana maelezo ni yale yale , cha kushangaza waandishi wetu wa habari ni wa hovyo kabisa , sheria zikitungwa wanakesha kwenye majukwaa wakilalamika Tanzania uhuru wa habar haupo sasa unaweza kujiuliza authenticity ya kitaja na kitajo haviendani kabisa ni shida tupu hadi inaboa na kukera!!!Mbona kasimama au alihojiwa kabla ya ajali?
Halafu ilivyoletwa sheria ya waandishi angalau wawe na degree mkasema mnaonewa [emoji16][emoji16]
nachojua dereva alikufa kwenye mlipuko sasa ni dereva gani aliesimulia
Ndio uone binadamu tulivyopoteza utu.yaani kwao Mali ilikuwa Bora kuliko binadamu mwenzao.pole Sana kwa familia ya abiria wa huyo bodaboda aliyeamua kufa akiwasaidia dereva na Mama waliokuwa wamebanwa kwenye gari.serikali ingefanya jitihada atambulike ili japo kuisaidia familia yake iliyosalia.alitambua hatari iliyokuwepo lakini bado alisucrifice uhai wake akijaribu kuwaokoa watu asiowajua.Sio dereva huyo mkuu huyo ni shuhuda tu, dereva raia hawakuhangaika nae wali dili na mwarabu tu. Dereva atakaua alikata kamba na wenzake
Dereva Wa Gari La Mafuta lilolipuka asimulia kila kitu ajari ilivyoyokea na mpka kunusulikaa. aeleze alivyokatika miguu
Aisee hata kama ni kuiba sawa wangeiba ila wangejali maisha ya wenzao kwanza
Pumbavu sana , Mungu inaonekana alikasirika sana huu ujinga yaani unamwacha mwenzako analia ndani we unaiba hafu kuna watu wanasema tuwateteee pole zangu zinaenda kwa dereva abiria na konda pia wapita njia ambao iliwakuta kwa bahati mbaya na pia watoto ambao hawakujua chochote
Ila hawa wengine eeh Mungu nirehemu walale wanapostahili
God forbid
Acha kukurupuka nzi wa kijani wewe, uwe unajiridhisha kabla ya kuweka mabandiko humu JF. Si umesikia nzi mwenzio anavyong'ang'ania kutaja Dodoma badala ya Morogoro. Hamjielewi kabisa kazi kukaririshwa tu!! Sh..zi type!!Dereva Wa Gari La Mafuta lilolipuka asimulia kila kitu ajari ilivyoyokea na mpka kunusulikaa. aeleze alivyokatika miguu
Kwa hili nakuunga mkono, litangazaji linang"ang"ania Dodoma Dodoma, kukaririshwa sio kuzuri!!Bahati mbaya huwa siangalii TBC na sisikilizi Redio Uhuru.