Recent content by ChamiNdonda

  1. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Just a normal day in Meru when a man dellivers an elephant's penis home for dinner

    Hapo ni mwendo wa mishkaki tu ya makagari ya Ndovu
  2. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini katika hii picha!?

    Ni kama wanafunzi vile mmefanya kosa flani sasa mmeitwa ofisini kwa Mwalimu Mkuu
  3. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Hawa Watangazaji wa East Africa Radio wanajua sana

    Huwa namwelewa sana Geogre Kempista,mwl,Tigana na wale majamaa wengine wa Kipenga Extra
  4. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

    Nakumbuka Kipindi tuko school (seminary) Baba wa kiroho (Spiritual Director) alituambia kuwa sio story zote zilizopo kwenye Biblia ni za kweli Nyingne ni hadithi tu za kutunga akatoa mfano wa creation accounts akasema siyo story ya kweli kwamba Mungu aliumba dunia kama inavyoelezwa kwenye...
  5. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Je tunawapima akili Viongozi wetu? Rais/Mfalme Kichaa aliyeishia vibaya Gaius Caesar akifahamika kama "Caligula"

    Yah,nmeona muvi ya Galigula sema wanachapana sana kwenye Ile muvi
  6. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Uliza chochote kuhusu Drone

    Na drone inaweza ikabeba mzigo wa hadi kilo ngapi?
  7. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Zilipendwa za redio RTD

    Nakumbuka tangazo la Rushes "Rushwa ni mdudu hatari sana......" Nilikua bado chalii sana Kipindi hicho nikawa sielewi rushwa ndo nini nikawa nadhani labda kuna mdudu kabisa anaitwa Rushwa
  8. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Funika bovu

    CHATUPA tunaomba uchunguzi uliohuru wa kifo cha member watu ambaye inasemekana amekufa akikitumia Chama Tuna mashaka kuna baadhi ya watu wanataka kukichafua Chama Chetu chenye wanachama wengi kionekane shughuli zake hazifai Tunaomba Scotland yard,CIA,FBI,MOSSAD na mashirika mengine ya kimataifa...
  9. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    Hata Mimi ni muhanga wa hilo tatizo kwa miaka kama mitano hivi Sometimes huwa nahisi labda aina ya maji nayo inachangia kwa sababu nikiwa Dar nikioga siwashwi Ila sasa nikiwa Dodoma nikioga lazima niwashwe Ni kweli maji ya moto ama vuguvugu yanapunguza muwasho kiasi flan
  10. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni bangi au mtumiaji?

    Mzee wangu aliniambia kuwa kama ulinyonya maziwa vizuri na kwa muda unaotakiwa, bangi haiwezi kukudatisha
  11. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mtaala wa somo la dini kwa sekondari

    Sifahamu kuhusu Bible knowledge Ila Divinity nina uzoefu nayo kiaina flani
  12. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mtaala wa somo la dini kwa sekondari

    Unamaanisha Bible knowledge, Divinity ama Islamic knowledge
  13. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Majaribu ya nyoka kumdanganya Eve kula tunda katika biblia ni kisa cha 'habari bandia'

    Nakumbuka Kipindi tuko seminarini, Father alituambia kabisa kuwa hichi kisa cha Adamu na Eva sio story ya kweli ni hekaya tu kama za Abunuasi za Wayahudi. Na akasema kuwa jamii tofauti walikua na story zao kuhusu asili ya mwanadamu sema nyingi zimepotea Alisema pia kuna baadhi ya makabila...
  14. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania My favourite movie of all time, Black hawk down. Naangalia mara ya 20 hii

    Lone Survivor huwa naiangalia tena na tena
  15. ChamiNdonda

    JamiiForums Tanzania Hizi ajira mpya za Ualimu zilizotoka hazikufuata haki na hata kama wataendelea kutoa watafata mtindo waliouanzisha

    Waliomaliza 2015 kwa upande wa secondary wameajiriwa wawili tu Ina maana waliomaliza 2015 waliosoma masomo ya biashara ni wachache kiasi hicho
Back
Top Bottom