Umejifunza nini katika hii picha!?

Umejifunza nini katika hii picha!?

Ni kama wanafunzi vile mmefanya kosa flani sasa mmeitwa ofisini kwa Mwalimu Mkuu
 
Hamjaiona hii nyie...
IMG_1267.JPG
 
Nimejifunza kuwa Trump ni mboga saba kuliko hata huyo Ke hapo, yani amesimama kwa dakika mbili tu akaomba kiti baada ya kuhisi miguu inazidiwa uzito na kiwiliwili..
 
Trump na matatizo ya kiuno na nyonga hawezi kusimama kwa muda mrefu...

Vladimir Putin angekuwepo, Trump angekua anacheka cheka tuu... asingethubutu kumkalia hivyo...


Cc: mahondaw
 
Lugha gongana. Masikini Shinzo Abe mjapani anaitikia kila kitu na Ok! Yes! Harooo! [emoji23]
 
Back
Top Bottom