ZE VANGUARD
Senior Member
- Oct 15, 2017
- 163
- 191
Wakuu,
Kama kichwa kinavojieleza,
Ingawa mimi sio mtumiaji lakini kuna kitu kimekuwa kikinitatiza kuhusu huu mmea kutokana na watumiaji hii kitu.
Watumiaji wengi wamekuwa wakisifia sana huu mmea wengine wakidiriki hadi kusema ni dawa ya magonjwa mbalimbali lakini mimi nimeshuhudia kuna dogo kitaani hapa kama kapata uchizi, siku za karibuni na watu wengi wamehusisha ilo suala na uvutaji wa bangi lakini nilipojaribu kuhoji mtu mmoja kuhusu ukweli wa ilo jambo akakataa na kusema bangi haiwezi kumpa mtu uchizi maana kuna watu anawajua mwaka wa kumi huu wanavuta na hawajawai kuchanganyikiwa.
Swali: Je tatizo ni mvutaji au ni bangi?
Naomba kueleweshwa kitaalam kuhusu hii kitu.