Recent content by Chambichambi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Samia yeye anafukuzia tuzo za umoja wa maifa. Yani anaenda kinyume na magu SSH nilikuwa na matumaini lkn sasahivi naona aibu tu kusema bora ya mwenda zake
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa NECTA: Usimamizi wa mitihani kwa shule za Sekondari na Msingi

    Mimi naona NECTA wako sawa kabisa make kwenye swala la kuiba mtihani linaweza kupungua. Ila mimi mwenyewe kuna baadhi ya mitihani nilisaidiwaga inzi hizo. Hata Mimi siwezi kuacha kumsaidia mwanafunzi wàngu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    Vodacom Tanzania
  4. C

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Jackpot ni ujinga

    Ni bahati na sibu mkuu Tafathali cheza kiasi
  5. C

    JamiiForums Tanzania Akaunti yangu ya HESLB inaonesha hivi, kuna tatizo gani?

    Mkuu hapo vyeti havijathibishwa/kugongwa mihuri na RITA au na mahakana! Hivyo Fanya marekebisho
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Ipo siku akili zitawakaa sawa tu! Acha waendelee kupigwaaaa Ila hapo kwa jpm na wewe imenifanya nikuone kama msukuma
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

    Mimi ninachojua sisi wote ni uzao wa Adam na Eva. Ila baada ya gharika uzao wa nuhu ulisamba ulimwenguni kote. Kasome mwanzo na mambo ya nyakati, mwanzo sote yote kabisa N. B: siri ya mwanadam ipo kwenye biblia, hivyo jaribu kusoma
  8. C

    JamiiForums Tanzania Formula; 'Ondoka' 'Acha' ndio maana halisi ya kupata Mafanikio

    Ulivyoviongea ni vya kweli na hakika vinafundisha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wivu ni ugonjwa, na wahusika ni watu wakaribu siku zote

    Mkuu hata mimi huwa nashangaa sana! Hasa sisi hohahe wanga tunamatatizo sàna. Ila kinachotakiwa usijiweke wazi kwa watu
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume

    Wewe mwenyewe haupo serious! Nilikufata ukasema et Mimi ni mdogo
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekutana na my wangu

    Nataka nirudi nayeeee
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekutana na my wangu

    Acha ivamie tyu
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekutana na my wangu

    Eeee
Back
Top Bottom