Je ni kidume?anakula wake za watu hapo nduguti?maana hapo nduguti ni kamji kadogo sana ila kuna vitoto vya kiarabu vzr ile mby na kuna mganga wa kienyeji hapo ni soooooooo anaagua huyo ile mbayaaaaa
Daaaaaaaah!!umenikumbusha mbali sana mwaka 2005 pale jijini Arusha jamaa yangu ambaye sasa ni Luteni Kanali wa jeshi letu alinunua mlupo pale kwenye kijiwe cha mkuu wa mkoa.....jamaa alikua amekula mkunyati ama viagra alipiga show moja ya kwenye ardhi hadi yule dada alikimbia na pichu mkononi so...
Habarini za usiku wana jukwaa!!
Natumaini mpo salama kabisa mkiwa mnamalizia jumamosi tulivu kabisa ya kwa resma yetu.Mie napenda kuuliza tu na kujua kama sisi wadau tulio na account katika bank ya CRDB kama fedha zetu zipo salama maana kwa ninavyoona huu mwenendo wa mzee wa Magogoni kwenda...
Kwanza kiuhalisia wewe ni mshabiki wa Liverpool Fc....
Ok!!Kikubwa zaidi piga goti chini na umuombe sana Mwenyeezi Mungu na nina uhakika ukiweka nia kwa dhati ya moyo wako ndani ya siku 40 utakua upo kwenye ulimwengu mwingine kabisa!!
All the best
Hili jamaa ni jinga tena jingaaaa kabisa km ni yale mambo yetu ya Tanga kafanyiwa atakuwa kawekwa kwenye chupa ya Amarula hata uiangushe ghorofa ya sita haivunjiki.....achana naye hadi atakapoambiwa hao watoto wote wanne si wake ndio atajua kama risasi inaweza kupigwa hewani ikaibukia siti ya...
Yaani kisa chako kidogo kifanane na kisa changu maana mimi mke wangu alinifukuzia kwa house girl kisa tuu nilimkonyeza akachukia na kunipa ruhusa nikalale chumba cha mdada wa kazi week ya tatu sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.