Recent content by Chakupewas

  1. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014

    Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014 http://necta.go.tz/matokeo2015/ Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia. National form II Results 2009 aibu
  2. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    Tanzania Postal/Zip code toka TCRA hizi hapa Tanzania Country Code 255 Country Code TZ , Postal ZIP code of Tanzania - GeoPostcodes database , au https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf
  3. Chakupewas

  4. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Nackia ckia tu. Ma Salma yuko wapi atieneno afunguke
  5. Chakupewas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu gani nimnunulie mpenzi wangu wa kike?

    Nami nakuja kwako weekend hii so uko tayari ila mi ni mkaka
  6. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    kila mbuzi anakula urefu waa kamba yake
  7. Chakupewas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie sifa 5 za msichana kuwa mke

    1. Awe na hela 2. Awe na mipesa 3. Awe na mkwanja wa kuzidi 4. Awe na mapene 5. Awe na mavumba yakucheda vingine vyoooote kila mwanamke anavyo
  8. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania vikundi vya kigaidi Tanzania.

    Ngoja ngoja........?
  9. Chakupewas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

    Miaka mitano kitu gani ndo yenu bado changa saaaaana endeleni kumuomba mungu awaepushe na mabaya yote
  10. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

    Hawa jamaa wasumbufu sana na mungu wao
  11. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Kilicho tokea leo katika mbio za Mwenge wahusika unganisheni dot

    Utupu tu
  12. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Kilicho tokea leo katika mbio za Mwenge wahusika unganisheni dot

    Tanzania mpya inakuja soon
  13. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Kenya hata Tanzania kinaweza kutokea...tuchukue hatua!!!

    Watajiponza na ndio itakua mwisho wao wasithubutu kuigusa tz yangu
  14. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

    Dini zingine hizi tuangalie sana hata zilikotokea
  15. Chakupewas

    JamiiForums Tanzania Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

    Ningekua raisi wake ningempandisha cheo faster
Back
Top Bottom