Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

Status
Not open for further replies.
anakutafutiaaaa tyming huyoooo....ipo cku atakuwekea kumbukumbu ktk maisha yakooo hao s watu kabiaaa...wezi wa macontainer...wezi wa nyaraka za serikali....wezi wa wake za watu...na wachaga kwao kuowa au kuolewa ni ngumu ukiona kaowa ama kaolewa ujue kafata maslahi yake binafsiii..akiyapata anakukimbiaaa.....na kwa ubaguzi haooo ehhhhh
 
Huo ni ujinga walionao baadhi ya wanaume kama wewe... mwanamke yeyote anayajua mapenzi ikiwa mmekubaliana na mkaandaana vizuri.... ukiona hujridhika kimapenzi kisa umefanya mapenzi na mchaga ujue tatizo lipo kwako wewe mwanaume HUJUI KUMWANDAA MWENZIO KIMAPENZI.
Point ya kwamba wachaga wanawake ni wauaji hiyo ni fikra ya kizamani na potofu kwa sasa... mwanamke gani atamuua mume wake kisa nyumba na gari??? hayo yote yamejaa tele kule uchagani njaa kama hizo hazipo...
Narudia tena wachaga na maendeleo ..oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
anakutafutiaaaa tyming huyoooo....ipo cku atakuwekea kumbukumbu ktk maisha yakooo hao s watu kabiaaa...wezi wa macontainer...wezi wa nyaraka za serikali....wezi wa wake za watu...na wachaga kwao kuowa au kuolewa ni ngumu ukiona kaowa ama kaolewa ujue kafata maslahi yake binafsiii..akiyapata anakukimbiaaa.....na kwa ubaguzi haooo ehhhhh

acha hizo
 
kuna wachaga wanao ua waume zao na ni kweli. Usi jisifie mkuu, cha msingi ishi kwa akili. Watu hawafi mapema kiasi hicho. we subiri kidogo utakufa mkuu coz inaonesha una hamu ya kufa.
 
kuna wachaga wanao ua waume zao na ni kweli. Usi jisifie mkuu, cha msingi ishi kwa akili. Watu hawafi mapema kiasi hicho. we subiri kidogo utakufa mkuu coz inaonesha una hamu ya kufa.

hilo ndo tatizo linalowasumbua wengi kuwaona wachaga kama watu wenye matatizo lakini ukweli ni kuwa wachaga wanajua mapenzi
 
hater.png

MTUACHE MIAKA 100....KILA SIKU WACHAGA WACHAGA HAMCHOKI

Mti wenye matunda matamu ndo hurushiwa mawe zaidi.

Nadhani umenielewa mjukuu wangu.

Tukutane njia Panda ya Himo chapchap sana tukatambike kwetu. Disemba inakaribia ujue.
 
Haters wa Wachaga ni wengi hata humu JF. Ukiwauliza ni kwa nini, the simplest answer eti Wachaga hawajui mapenzi. Very ridiculous in deed.
 
Haters wa Wachaga ni wengi hata humu JF. Ukiwauliza ni kwa nini, the simplest answer eti Wachaga hawajui mapenzi. Very ridiculous in deed.

ndo chanzo cha kuleta huu uzi ili tujadili kwa pamoja
 
Miaka mitano kitu gani ndo yenu bado changa saaaaana endeleni kumuomba mungu awaepushe na mabaya yote
 
hao wanaodharau wachaga kwenye mapenzi hawajawahi kukutana nao hayo ni maeno ya kusimuliwa hivyo siwezi kuwashangaa....................but tafuta machaga then uje useme.
 
kaka hongera kama umeweza kuishi naye vizuri, kwa kifupi sio wote ila wengi wao ni wakorofi,hawapendi kushindwa wanatamani kilichopo ndani ya nyumba mgawane au muandikishe kwa jina lake, hawajui kulea wanaume. nimeishi naye kama rafiki, tukaingia mapenzi nikaona kama jehanamu nikasepa nikisikia somebody swai,mariki,masawe kama nafuta mke speed huwa inapungu ghafla
 
aiseee mi bora nioe mtu ambaye naona kabisa ni malaya kuliko mchaga anayetoka mlangoni mwa kanisa amebeba biblia na kitabu kitakatifu cha nyimbo huku akifikiria kama atapata hela kwa namna yeyote ile
 
kaka hongera kama umeweza kuishi naye vizuri, kwa kifupi sio wote ila wengi wao ni wakorofi,hawapendi kushindwa wanatamani kilichopo ndani ya nyumba mgawane au muandikishe kwa jina lake, hawajui kulea wanaume. nimeishi naye kama rafiki, tukaingia mapenzi nikaona kama jehanamu nikasepa nikisikia somebody swai,mariki,masawe kama nafuta mke speed huwa inapungu ghafla

nashukuru sana
 
hao wanaodharau wachaga kwenye mapenzi hawajawahi kukutana nao hayo ni maeno ya kusimuliwa hivyo siwezi kuwashangaa....................but tafuta machaga then uje useme.

kweli kabisa mkuu
 
wewe chalii mapenzi sio suala kuu hapa ila kinachoonekana, ni kwamba mchaga sio mtu wa kuweka ndani kama mke na mapenzi ndo sehemu ambayo wengi wamekutana na hao watu wa moshi na mimi mwenyewe, unamuoa unadhani ni mke kumbe ana programme zake. umewahi kujiuliza kwa nini wa mama wengi wa kichaga hawaishi na wanaume wao? wanaishi tu na watoto na mali kibao waulize baba yuko wapi, majibu ni mawili tu 1.amefariki 2.wameachana yote hayo mawili chanzo chake mke wa kichaga
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom