Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 199
Thanx Bahati, niliingia kwny hiyo link na kufanikiwa kuzidownload
Acha uongo, kama hujui si useme. angalia hizi hapa, https://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
Seriously?
muongo hata huoni aibu aseee
Tanzania haina postal code/ postal code haitumiki TZ.
Hivi unaelewa nini maana ya post code? je unaweza niambia post code ya nchi kam nchi ambayo sio ya area fulani?mfano ya UK, Canada au utakayoona weweSawa....mwambieni aandike yoyote hapo kwenye hiyo list ..ikikubaliwa aje aseme...haina haja ya kubishana sana......kwa watakaoshindwa kumsubiri wasome kwenye wikipedia hapa
List of postal codes - Wikipedia, the free encyclopedia
na mukome kufuata utumbo wa sekta za tz...hizo sio postcode zinazotakiwa kuekwa kwenye paypal accounts and the like...kwanzaaaa...hiyo list imejaa regional codes..sasa sijui achague ipi ndo aifanye ya tanzania...
Naombeni msaada wadau, anaejua POSTAL/ZIP CODE YA TANZANIA naomba anitajie
Samahani mi naomba kuuliza mfano anayejaza application form ya greencard online mahali pa area code ajaze nini?
Tanzania haina postal code/ postal code haitumiki TZ.
Acha uongo, kama hujui si useme. angalia hizi hapa, https://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
Acha uongo, kama hujui si useme. angalia hizi hapa, https://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
mkuu ZIP Codes inahusiana na mfumo wa posta wa huko marekani...
hapa kwetu hatuna hicho kitu...
hiyo +255 siyo ZIP Code bali ni International telephone code...ukitaka kunipigia simu yangu say....0713..000000...nawe ukiwa nje ya TZ unachofanya ni piga +255 0713 000000 hapo umenipata...mfano hiyo code Kenya ni +254 na USA ni +1
kwa habari zaidi kuhusu ZIP Codes tafadhali soma hapa: ZIP code - Wikipedia, the free encyclopedia
Mkuu Country code ni tofauti na zip code Country code hufahamisha nchi katika ulimwengu wa digitali na zip code hutambulisha jiji/mji katika ulimwengu wa digitali Kwa mfano America kila mji una code yake hii inamaanisha unaweza kutambua mji kwa number,
au ktk kenya country code yake ni +254 na zip code ya nairobi ni 0100, kwa tanzania hatuna zip code ila mipango ipo njiani kuwa na address za makazi hii itafanya tuwe na zip code bali country code yetu ni
+255
Asante