kwani kilichokufanya umchague awe girlfriend wako out of all ladies unaowafahamu ni nini? ni kweli kuwa girlfriend na mke ni tofauti, but kama kweli mnadumu na mtu miaka miwili au zaidi maana yake kuna tabia zinaendana ndio sababu mmeweza kuwa pamoja, to be honesty, kumbuka she is a human being, umeshamtumia miaka miwili halafu unasema hafai kuwa mke, unataka nani aje amuoe, kesho kesho kutwa ukimuacha akikutana na mtu mwingine kama wewe nae akamuacha tayari anakuwa desperate halafu mnakuja kuwaandika tena hapa hapa jf kuwa wamevuka umri wa kuolewa, mara madungayembe, thats not fair, mi naamini kila mwanamke anafaa kuwa mke as long as anajua kubehave na umeshaona kuna hali fulani ya kuvumiliana iliyowafanya mdumu kwa huo muda wa girlfriend/boyfriend!!!
ni mawazo tu, msinipige mawe........................!!!!