Recent content by Chakachi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

    U Ukiona hivo ujue ela yako ya mawazo, mwanaume hasa hapigi kelele linapokuja suala la tumizi Kwa mwanamke wake.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

    Ela ya mwanaume inanoga sana kuitumia hata ikiwa kidogo.
  3. C

    JamiiForums Tanzania ndugu zangu upande wa pili, haya mnaambiwa au mnajiongeza!?

    T Totally wrong!!!!! 😱😱😱😱
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Dar: Ukiona Kakusalimia...

    Nonesence
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Unaishi dunia ipi? Wapo wengi Sana wanaishi maisha hayo akikaa nje na wanawake wenzake anaficha ili mradi aonekane yupo kwny ndoa. Hadi boxer wananunua.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Kuna walioolewa pia nao hawaletewi msoto km kawaida wa kujitafutia hd chakula,kodi ya nyumba na Nguo za watoto.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    fakalava, Nimeanza biashara hiyo mwez uliopita,mm nipo mkoani huku unachinja Ng 'ombe mzima peke yako kikubwa unakua na bucha zaidi ya moja za kuuzia,unatundika kiasi kiasi unatunza kwny friza mapema kabla haijakaa muda mrefu, unamalizia siku ya pili kuuza nyama inakua km ya leo.kikubwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Keith Sweat Vs R Kelly

    tunaowakumbuka hawa jamaa ni wahenga wa kutosha, enzi ya ITV2
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

    Hainiumi chochote ni upashanaji wa taarifa tu,ukilichukulia Kwa namna tofauti ndo utapata hisia mbaya
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

    Sasa usifiwe sifa isiyo yako, sifa za kijinga hizo. Basi na ww u mrembo Sana nimeona picha yako.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

    Hiyo picha ipo mtandaoni kwny mishono ya vitenge, sio yeye
  12. C

    JamiiForums Tanzania "Mwanaume hazeeki"

    Well said sio kw zalau hiyo, mwanaume hazeek bana kaz kaz,
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kama kuwa na mume wa mtu ni kuharibu ndoa, vipi kwa waislam wanaoolewa ndoa zaidi ya mke mmoja

    P Post yako inakufafanua wazi kwmb ulikimbia umande 😛😛😛
Back
Top Bottom