Jigambe kwakula hulipii, but note uzuri wa mtu/kitu upo machoni mwa mtazamaji..!
Nitafute unione afu ndiyo, ujaribu kunilinganjsha na huyo zilipendwa, ama umeelewa thread kana kwamba sina pesa ndiyo maana nilimjibu vile..? Pesa iko nyingi ila si kwaajili ya kudangia.
Demu njaa anatia kichefuchefu...
Hehehehe povuuu [emoji1316][emoji1316][emoji1316] sasa kama unajua uzuri upo machoni mwa mtu why unijudge
Hivi kwanza hata ushanenepa wewe
Uchoyo uchoyo utanenepa lini muda wote unawaza kudangiwa
Mwanaume wangu money is nothing kwake
SawaMtakuja kula sumu..
Ungenijua nijua nilivyo na dharau kwa wanawake vilaza km wewe using thubutu ata kunijibu, shubamiti...wwe
Sawa
Ukiona hivo ujue ela yako ya mawazo, mwanaume hasa hapigi kelele linapokuja suala la tumizi Kwa mwanamke wake.Hahahah..! Za kwangu zinabagua mno watu wa kuzitumia..
Ishiii...! Sitoi pesa kwa watu wenye akili finyuu kama wewe! Afu tabia za kishambaa pitaa... Ngurue sina mkuki. Eti pesa si kitu wenye pesa hatuhitaji kusema tunazo na wala hatuonekani kwa matumizi ya kipumbavu.
Mwanamke wa kula pesa yangu huwa haombi na wala si type ya aina yako nyan'au weeh.
U
Ukiona hivo ujue ela yako ya mawazo, mwanaume hasa hapigi kelele linapokuja suala la tumizi Kwa mwanamke wake.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nalifurahisha furushi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenishinda tabia.... Kwani wamjua mtoa mada?Hakana pesa kanatupigia kelele tu humu na kenyewe kaonekane kamo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume timamu wanamuona jinga tu
Hapo kana kwashiakoo tukachangie pesa ya mlo kapate afya
Umenishinda tabia.... Kwani wamjua mtoa mada?
RubbishAmbao tuna kazi na mishahara minono mnatuogopa endelea kuhangaika hivyo hivyo kwa hao unaowaita yatima
Mininachojua mwanaume ni apate mtu wakumpenda sio wakumjaribu kwa kumuomba hela au vitu .KATOTO KAZURI ngoja nikwambie
Lakini huyu si kasema anataka mke na watoto kwa hiyo yupo kwenye mchakato wa kumtafuta Sasa Kuna shida gani kumpa pesa huyo future wife Tena kasema mwenyewe ni mwanafunzi na kaomba pesa ya stationary...mm nadhani labda angekuwa tayari Ana mke halafu huyu ni demu tu kakutana nae basi ningeelewa hiyo hoja...
Mwanamke kuhudumiwa ni kawaida Sana,huku sijui kutaka usawa na mwanamke au kukimbia baadhi ya majukumu kisa mwanamke anaweza kujitafutia ni kujitakia matatizo siku za mbeleni.mimi nadhani angempa hiyo pesa ambayo sidhani Kama ingezid 50k halafu unampa vipaumbele vyako taratibu...Kama ni mke utamuona tu anajaa kwenye malengo yako Sasa ukikimbia mapema halafu unataka mke utapata mwanamke gani dunia ya Leo!!?unaweza kukuta hata huyo dada alikuwa anampima Jamaa Kama anaweza kuwa na msaada kwake.
HahahahahhahahahahaKelele tu anatupigia wenye pesa humu jf tunawajua mbona hawanaga kelele
Hawa pangu pakavu hata asikutishe muulize Miss Natafuta anakajua
Duuh haya bibie inaonekana tuna mitizamo tofauti kuhusu hili swala...let me rest my case.Mininachojua mwanaume ni apate mtu wakumpenda sio wakumjaribu kwa kumuomba hela au vitu .
Mwanamke apate mtu wakumpenda nasiomjaribu na matamanio ya kulala naye najinsia zote hupenda mapenzi ya dhati.
Naukiangalia ni yafuatayo .
Kujaliwa kupendwa uaminifu heshima nakingine kujua kosa na kukiri kosa.
Kusamehewa ni rahisi
.