"Mwanaume hazeeki"

"Mwanaume hazeeki"

Wanaume wenzangu dongo letu hili jamani njooni tushirikiane kulizuia ili lisilete madhara zaidi
 
Well huu ni msemo unaopenda sana kutumiwa na wanaume na baadhi ya wanawake.

So let's keep records clear, huu msemo unatumika kwa wanaume kama Mengi, Mo Dewji, Bakhresa and the like. Nyie wenzangu na mie don't even think about that, mnazeeka my friends tena mnazeeka vibaya sana.

Hivi huna hata assets za maana, hauna uwekezaji wowote wa maana ulionao wa kuacha legacy and you have the guts kusema "mwanaume hazeeki"! My friends thiiiiiiiink. Au huwa mnafikiri kuwa mwanaume ni kumwaga mbegu tu?

Hivyo sasa, ukitaka usizeeke anza sasa kutengeneza legacy(if you still have time and balls though) kwa wale ambao mshazeeka ikiwa bado mko 20's, 30's or 40's basi enjoy uzee while it still lasts.
Wote tuseme Rip kijana mengi
Ha ha
 
Kutokuzeeka hakuhusiani na hayo unayosema. Acha tamaa ya mali bibie, mwanaume hazeeki kwa sababu ya mambo mengi, mojawapo ni vumbi la kongo.

A man is as old as he feels, a woman is as old as she looks
 
Hivi yule Machache alikua na uwezo wa kumpigisha K lin round 3?
Au Low Wasa kwa hali aliyo nayo sasa anapiga hata 1?

Sasa ule ndio uzee. Acha niinjoy ujana.
 
Hakika mzee wangu alifanikiwa ameacha legacy inayoweza kukaa mpaka vizazi 6 vijavyo...may his soul continue to rest in peace he was a truly soul survivior...
 
Kifo hakina taarifa, hata wewe Leo waweza kufa,hill halipangiliwi, labda tuu cha msingi una waachaje au ume waandaje wanaokutegemea ki- imani, ki-elimu na kimaisha kwa ujumla na kadhalika wakati ukiwa na nguvu na uhai

Jitu limestaafu linazaa na kabinti kisa tuhela twa mafao after 10 years linakufa mtoto na mama wakabaki wametoa macho
 
Well huu ni msemo unaopenda sana kutumiwa na wanaume na baadhi ya wanawake.

So let's keep records clear, huu msemo unatumika kwa wanaume kama Mengi, Mo Dewji, Bakhresa and the like. Nyie wenzangu na mie don't even think about that, mnazeeka my friends tena mnazeeka vibaya sana.

Hivi huna hata assets za maana, hauna uwekezaji wowote wa maana ulionao wa kuacha legacy and you have the guts kusema "mwanaume hazeeki"! My friends thiiiiiiiink. Au huwa mnafikiri kuwa mwanaume ni kumwaga mbegu tu?

Hivyo sasa, ukitaka usizeeke anza sasa kutengeneza legacy(if you still have time and balls though) kwa wale ambao mshazeeka ikiwa bado mko 20's, 30's or 40's basi enjoy uzee while it still lasts.
Dah, huyo baharia uliokuwa unamlea ukamchoka ana tabu sana. Laiti angejua 🤣🤣🤣
 
Vipi ulimpata mwanaume aliyechangamka baada ya kumpiga chini yule mchaga??
Seems alikuwa anamlelea mchaga mzembe, sasa kachoka kubeba mzigo anakuja na kila slogan za kumtia vijembe 🤣🤣🤣 anatafta justification ya kumuacha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom