Recent content by chafya ngumu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Argentina na England moja anatakiwa aishie nusu fainali, vivyo hivyo Spain na Ufaransa

    Kwa mwendo huo nchi za Africa weusi walishirikishwa kucheza tu ila siyo kuwania kombe achililia mbali madhaifu yao!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kumwambia ukweli mpenzi/rafiki yako pasipo kupoteza mahusino yenu

    Navumilia tu, coz sijampata kirahisi et😂😂
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake wenzangu

    Hata jogoo huwa anazungushwa zungushwa kidogo mpk smtmz adanganyie na vimawe 😂😂
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unashiriki tendo na mpenzi au mke wako ni kitu gani unaweza ukafanya wakati huohuo?

    Mara nyingi huwa na piga mluzi wakuimba national anthem ado ado
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu njiani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi

    Baadhi ya mikoa tz hupongeza watu wenye vitambi kwamba et watu wa vitambi wana afya na pesa! Kifupi wamewin maisha 😁😁
  6. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Athman Mujahid: Nyakati 5 Ambazo Hupaswi Kumrekebisha Mtoto

    Kati ya hizo zote Namba 04 kidogo nitavumilia kumlindia heshima yake nae, ila huko kwingine hata kama katoka toilet ni kumvaa tu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Athman Mujahid: Nyakati 5 Ambazo Hupaswi Kumrekebisha Mtoto

    Kati ya hizo zote Namba 04 kidogo nitavumilia kumlindia heshima yake nae, ila huko kwingine hata kama katoka toilet ni kumvaa tu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Unataka au hutaki😉

    Nyuzi kama hizi zinanoga ukiwa na nyege otherwise hazisomeki 😏
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nilivyogundua tu Mwanamke ana gari, nikaona huyu siyo Level zangu

    Yule dada jinsi alivyonyanyuka nanilivyoona ulemkia wake na ile rangi yake nyeupe!! Nikasema hii ndo level yangu sasa 😋
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ogopa mataperi

    Daah ndo unakuta nae ni mzazi, ni vile tu watoto hawana options za kuchagua wazazi 🤔
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na ngono, kitu gani kinakufanya mpaka umnunulie gari mke wako?

    Upendo tu kwa mama watoto
  12. C

    JamiiForums Tanzania CRDB: Pesa Bilioni 4 zimerudishwa BoT baada ya kukosekana wamiliki. Wito watolewa Pesa isifanywe siri ili Familia waje kunufaika baada Mmiliki kufa

    Kuna viwanja pia vimekuwa magofu miaka mingi, nadhani pia wamiliki labda tayari usingizini wa milele e🤔
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ni sababu gani inayokufanya usipokee simu?

    Utawala binafsi
  14. C

    JamiiForums Tanzania Njia gani mnafanya kuku wa kienyeji wazoee haraka

    Mama ako tayari, zamu yako sasa
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kiwi Shoe Polish Mjitafakari

    Daaaah hiyo kipindi npo chalii niltumika sana kung'arisha boots za polis
Back
Top Bottom