blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 135
- 381
- Thread starter
- #21
kheeee😀😀😀haya mie wa kiume njoo nikuoe mchumbaId yako ya zamani ni ipi kiongozi ili sio swali la kike
kheeee😀😀😀haya mie wa kiume njoo nikuoe mchumbaId yako ya zamani ni ipi kiongozi ili sio swali la kike
Kuna vijitabia huwa havijifichi labda kama hujakutana na wajelajela wenzio mzee!Tatizo n kwamba huyo unayemchunguza nae anakuwa kwenye mode ya kujiandaa kuchunguzwa so usitegemee utaona baya kwake kwa kipindi hiko cha kumchunguza, so kulambwa pako pale pale.
Hapo si unakuwa umelewa wewe hauta jua hutaki utajua ni muda wa mizagamuo tuko iwe ile kama nataka alafu sitaki
Waportugal bhn au wewe ni Ronaldo unafurahisha gengekheeee😀😀😀haya mie wa kiume njoo nikuoe mchumba
niko hapa mylove wala hujachelewaWow,,,nimekusubiri kwa muda mrefu sana ulikuwa wapi dah😁 I wish ningekujua mapema
Nilikuwa nakuchunguza kwanza, mambo ya kuniachia ndala hapana!Babe vipi😁
nakumbuka ulinizungusha six weeks ndio unaniambia Red nakupenda hivi ulikuwa wapi Before nikabaki 😁
Sio kweli, nyie ndo mnakuja kushangazwa huko kwenye mahusiano mnabaki mmedua, mbona hakuwa hv kipindi cha nyuma 😂Kuna vijitabia huwa havijifichi labda kama hujakutana na wajelajela wenzio mzee!
Kuna vijitabia huwa havijifichi labda kama hujakutana na wajelajela wenzio mzee!
nani amekuvuruga?Waportugal bhn au wewe ni Ronaldo unafurahisha genge
dahHapo si unakuwa umelewa wewe hauta jua hutaki utajua ni muda wa mizagamuo tu
Nyie mbwa mkijibiwa ndio saa 2 saa sita mnaitaka hapana aisee! Bora nivute hisia kwanza namimi mambo ya kunyweshana hansons choice muda wa mechi!😏Unachunguza nini?
Majibu mawili, NDIO au HAPANA!
baby why umebadilika kumbe mlikua mnaigizaSio kweli, nyie ndo mnakuja kushangazwa huko kwenye mahusiano mnabaki mmedua, mbona hakuwa hv kipindi cha nyuma 😂
saaa sita mbali saa nneNyie mbwa mkijibiwa ndio saa 2 saa sita mnaitaka hapana aisee! Bora nivute hisia kwanza namimi mambo ya kunyweshana hansons choice muda wa mechi!😏
Hakuna anayepoteza katika huu mchezo
I got uniko hapa mylove wala hujachelewa
AaaahNilikuwa nakuchunguza kwanza, mambo ya kuniachia ndala hapana!
Unabaki umepigwa na bumbuwazi 😂baby why umebadilika kumbe mlikua mnaigiza
Hehehe yani tutaenda sambamba sio siri!Sio kweli, nyie ndo mnakuja kushangazwa huko kwenye mahusiano mnabaki mmedua, mbona hakuwa hv kipindi cha nyuma 😂
Basi mnawaigizia madirector labda mkatafute underground huko!Tunaweza kuiga tabia yoyite ile kama tunataka jambo letu kutimia