Recent content by Chademakwanza

  1. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    Asante sana Mwanahabari Huru
  2. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ni vema baadhi yetu tuondoke lakini tulikomboe Taifa, lazima tutoke na Maamuzi Magumu

    Molemo Kazi hii ninzuri sana
  3. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Dar akanusha taarifa zinazoenea mitandao ya kijamii

    Ameyasema haya kwenye Ukurasa wake wa Twitter.
  4. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

    Asante Kamanda kwa kutuulizia tupo tunakuja namipango mipya kwa maendeleo ya wote. Stay tune CHADEMAKWANZA
  5. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

    Kila la Heri kwenye Mahafali
  6. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi na wapenzi wa UKAWA kuelekea 2020

    Tunashukuru tumeupokea
  7. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Magufuli alienda Rwanda kujifunza jinsi ya kubana Vyama vya Upinzani

    Hili nilakupigiwa kelele na kila mtu
  8. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Namna upinzani wanavyoweza kufikisha ujumbe kwa wananchi bila kufanya mikutano ya hadhara

    Asante tumelipokea tunalifanyia kazi Chademakwanza
  9. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Halimashauri ya CHADEMA Arusha imemshinda Moris Makoi ambaye ni diwani wa CCM Moshi vijijini

    Hongereni sana Makamanda wa Jijini Arusha siyo kosa lako umeshatumia ile dawa yenu inayowapotezea network
  10. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani bungeni katika wizara ya maliasili na utalii

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2015/16 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA...
  11. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Acheni kuwahonga Wahariri na Waandishi kuandika Propaganda za Uongo

    Mleta thread unahuwakika na Unachokiongea au unaongea ili ujulikane upo? Kitengo cha habari chadema tupo makini na hatuwezi fanya huo ujinga hata mara moja ni vema kabla ya kuongea ukauliza kwanza. Asante
  12. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA, itakutana Mjini Dodoma katika kikao chake kuanzia Mei 12-13

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kuwa Kamati Kuu ya Chama itakutana Mjini Dodoma katika kikao chake cha kikatiba kuanzia Mei 12-13, chini ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe. Kikao hicho, pamoja na masuala mengine, kitajadili kwa kina...
  13. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Rais Magufuli Ufisadi wa Trillion 8 za Wafanyakazi Wastaafu

    BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UKIMYA WA RAIS MAGUFULI UFISADI WA TRILIONI 8 ZA WAFANYAKAZI, WASTAAFU Ndugu waandishi wa habari, tunapenda kuwashukuru kwa kuitikia wito huu wa kukutana nanyi...
  14. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa UKAWA juu ya shughuli za Bunge

    Asante kwa Ushauri tutafanyia kazi
  15. Chademakwanza

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Upokelewaji wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Jijini Dar es Saalam

    CHADEMA kinawataka wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake kuwa na subira ya kutambulishwa rasmi kwao Katibu Mkuu wa Chama, Dkt. Vincent Mashinji aliyechaguliwa na Baraza Kuu wiki iliyopita jijini Mwanza. Aidha, Chama kinawaomba wadau, wanachama, marafiki na washabiki kujiandaa kutoa...
Back
Top Bottom