Ushauri kwa viongozi na wapenzi wa UKAWA kuelekea 2020

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,680
149,879
Ushauri wangu:

"Huu si wakati wa kuwajadili tena Dr.Slaa na Prof.Lipumba wa 2015,bali ni wakati wa kuchukua tahadhari dhidi ya kina Dr.Slaa na kina Prof.Lipumba wa 2020."

Nasema hivi kwasababu sioni logic ya watu kupoteza muda kumjadili mtu kama Prof.Lipumba ambae alikuwa tayari kujifunga bao kwa makusudi daki ya 90 ili kuihijumu timu yake. Mchezaji wa aina hii hastahili tena kufikiriwa kupewa namba katika timu zaidi ya kuachwa awe mshabiki tu wa timu kama akipenda vinginevyo hata timu ahame.

Tutambue,kuelekea 2020,kuna vyama vinaweza kuomba kujiunga na UKAWA,sio kwasababu vina nia njema na mapenzi ya dhati kwa umoja huu, bali kwa lengo la kuja kutuhujumu 2020,kwa kutangaza kujito huku wakidia hawana imani na UKAWA na maneno mengine mengi ya aina hiyo.

Halikadhalika,vyama vyote vinavyounda UKAWA, mtapokuwa mnafanya uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama kwa mujibu wa kalenda za uchaguzi wa vyama vyenu,muwe makini msiangalie majina ya watu bali muangalie uzalendo wa mtu vinginevyo mtakuwa mnawakabidhi usukani kina Dr.Slaa na kina Prof.Lipumba wa 2020.

Nanyi wanachama wa vyama hivi,viongozi wenu wakiwaletea watu wa aina hii,muwakatae na kura msiwape.

Adui yenu hajafa,bali anaendelea kubonyeza "remote" na ikibidi ataongeza mashambulizi hata kwa kutumia ndege isiyo na rubani.
 
Ushauri wangu:

"Huu si wakati wa kuwajadili kina Dr.Slaa na Prof.Lipumba wa 2015,bali ni wakati wa kuchukua tahadhari dhidi ya kina Dr.Slaa na kina Prof.Lipumba wa 2020."

Nasema hivi kwasababu sioni logic ya atu na kupoteza muda kumjafili mtu kama Prof.Lipumba ambae alikuwa teyari kujifunga kwa makusudi daki ya 90 ili kuihijumu timu yake.Mchezaji wa aina hii hastahili tena kufikiriwa kupewa namba katika timu zaidi ya kuachwa awe mshabiki tu wa timu kama akipenda vinginevyo hata timu ahame.

Tutambue,kuelekea 2020,kuna vyama vinaweza kuomba kujiunga na UKAWA leo hii,sio kwasababu vina nia na mapenzi ya dhati kwa umoja huu,bali kwa lengo la kuja kutuhujumu 2020,kwa kutangaza kujito huku wakidia hawana imani na UKAWA na maneno ya aina hiyo.

Halikadhali,vyama vyote vinavyounda UKAWA,mtapokuwa mnafanya uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama kwa mujibu wa kalenda za uchaguzi wa vyama vyenu,muwe makini msiangali majina ya watu bali muangalie uzalendo wa mtu vinginevyo mtakuwa mnawakabidhi usukani kina Dr.Slaa na Prof.Lipumba wa 2020.


Adui yenu hajafa,bali anaendelea kubonyeza "remote" na ikibidi atatumia hata ndege isiyo na rubani kuongoza mashambuli kutokea ardhini.
Tunashukuru tumeupokea
 
Kwa taarifa yako Mbele ya jamii , ACT ndio chama ya upinzani, na chadema ni ccm B
 
Back
Top Bottom