Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Amani iwe kwenu.
Ninawaonya Chadema kuacha kutumia hela nyingi za ruzuku kuwalipa Wahariri na Waandishi ili kuandika Propaganda za uongo mwepesi. Tumaini Makene na Abuu Lyongo huu mpango aliutumia Edward na hakufanikiwa.
Hizi gharama mnazoingia zielekezeni kuimarisha chama hasa kuimarisha chama hasa kupanga ofisi kuondoka kwenye majumba ya watu.
Propaganda zina ukomo na zikifika ukomo mtabaki na aibu kubwa kwani ukweli utajidhihiri.Wananchi wengi kwa sasa hawasomi magazeti kutokana na utofauti mkubwa wa habari katika magazeti,yanachosha.
Hao watu mnaowalenga kusoma hizo propaganda sio wapiga kura ni wajanja wajanja tu.
Jisahihisheni.