Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Halimashauri ya CHADEMA Arusha imemshinda Moris Makoi ambaye ni diwani wa CCM Moshi vijijini,katika kesi ya choo na vyumba 27 stendi ndogo.
Ikumbukwe kuwa wiki iliyopita halimashauri ilimshinda tena kwenye mahakama ya rufaa na kutakiwa kuilipa halimashauri 78mil.
Hongera madiwani wetu wa CHADEMA
Hongera wanasheria wa jiji kwa uaminifu wenu
Ikumbukwe kuwa wiki iliyopita halimashauri ilimshinda tena kwenye mahakama ya rufaa na kutakiwa kuilipa halimashauri 78mil.
Hongera madiwani wetu wa CHADEMA
Hongera wanasheria wa jiji kwa uaminifu wenu