Recent content by cha'

  1. C

    JamiiForums Tanzania ANAYEHITAJI KUWEKEZA WKENYE MICROFINANCE AWASILIANE

    ofisi yenu ipo wapi?
  2. C

    JamiiForums Tanzania FIrst comment ya post says it all

    sawa huu ni mtazamo ulioupata baada ya kudadisi mtiliriko wa mada mbalimbali. Pendekezo lako kama suruhisho ni nini? Mchango wako wa mawazo kwa ulichokiona ni upi? Matarajio yako toka kwa wachangiaji ni yapi? Kiufupi Mada yako na nyingi zinazoletwa humu hazina wigo wa kumuongoza kwa hiyo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Lifahamu kiundani zao la Nyanya chungu (Ngogwe) na jinsi ya kulilima

    Biashara ya mboga toka huko kwa jumla soko lipo karibu na round about ya kigogo. Biashara huanza saa ~9 usiku - 12asubuhi. Ukipita mida hiyo utawakuta madalali. Ila biashara hii bei inabadilika kila baada ya muda mfupi.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwa graduate tu....

    Swali la msingi linahitaji jibu, upana wa recruitment ujulikane, kama hamtojali jibu litapendeza zaidi. wazo zuri la biashara ndogo lina sifa nyingi ikiwamo kudurufika hata kama kwa namna yeyote watu fulani hawataweza kujiunga nanyi kwa sababu zozote wanaweza kulitumia katika kundi dogo la...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Picha; Huyu NDIYE MWANAMKE Mwenye UMBILE la KIPEKEE na ni la KISASA zaidi DUNIANI...

    No woman on top.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tanganyika yetu hiyo yarudi kwa kishindo

    Huu tuanzie kama wimbo wa taifa wa mpito wakati tukifanya mchakato wa wimbo wa kudumu. Ila jazia viitikio mkuu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

    Ukiwa mzima au mfu, kwa furaha au majonzi, kesho utafika. Heri ya mwaka mpya.
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania open letter

    Enzi zetu za barua!, ishu inapodondoka mtaani kabla haijafika kwa mhusika. Siku hizi naambiwa mnatumia whatsapp, mxit, sms, PM, etc kumfikishia mrembo ujumbe kama huu! Ila ujumbe umemfikia.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kugundua na kutengeneza Bunduki?

    Kama ya kujilinda, ukifanikiwa kutengeneza yenye recoil ndogo kupita Colt, mteja nipo. Silaha nyingi zinanunuliwa kutoka makampuni binafsi zilizobuniwa na watu binafsi huko nje. Ukifuata taratibu unaweza fungua kiwanda, soko la Afrika pekee ni kubwa mno.
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini ufumbuzi wa premature ejeculation kwa mwanaume?

    utamu unaulaje ipasavyo wakati kilacho kimepunguzwa uwezo wa kufurahia kula. Kufika mwisho ndo lengo lenyewe, ukiwahi jitahidi kufika mara nyingi kadri iwezekanavyo.
  11. C

    JamiiForums Tanzania nitarudi tena.....

    Tutashukuru ukirejea.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nitarudi tena.....

    usimtaje kabisa huyo kiumbe kwa leo, labda kesho.
  13. C

    JamiiForums Tanzania 2013 Nikwa Neema tuu

    Neema ya BWANA izidi kuwa nasi 2014. Amina.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tanganyika yetu hiyo yarudi kwa kishindo

    Ha ha haa, ni furaha yangu kuwa Mtanganyika. nahitaji, hati ya kusafiria, kitambulisho cha raia wa Tanganyika.
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada tu?

    Maneno kama haya yanafanya biashara ya pweza izidi kuenea kwa kasi
Back
Top Bottom