Nitarudi tena.....

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
naamini nitarudi tena 2014.shikamoo nyingi kwa watu wangu wa nguvu,miss chagga,una moyo wa chuma mama napenda kukuona ukiwa hivyo,"valentina" ma smolo house,mzizi mkavu ongeza stori mkuu,farkhina chef la jf,next year niite unionjeshe mama,kabanga,lara 1,madam B,papaa2015 huyu ni mseminary mzinzi,,preta,heaven on earth,kabalazuka,dah hata mimi mwenyewe kozo okamoto ni mtu wa nguvu,shikamoo nyingi sana kwangu....memberz wote ni watu wangu wa nguvu....heri ya mwaka mpya jamani
 

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,153
2,000
mkuu upo?ilibaki kidogo nianzishe thread ya R.I.P horseshoe arch.....

Waoh! Tena ukianzisha ningefurahi sana kuona watu wanavyomwaga sympathy zao nikishuhudia....kuna huyu nanihii anayedai ananipenda sana ningetaka kuona kama ni kweli ama ilikuwa geresha maana mwenye simanzi ya ukwel utamjua kwa kusoma macho yake!
 

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
Waoh! Tena ukianzisha ningefurahi sana kuona watu wanavyomwaga sympathy zao nikishuhudia....kuna huyu nanihii anayedai ananipenda sana ningetaka kuona kama ni kweli ama ilikuwa geresha maana mwenye simanzi ya ukwel utamjua kwa kusoma macho yake!

hahaha naniliii angelia sana coz buzi lingekuwa liimekata
 

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
Nasikia mwisho wa mwaka mkuu Mungu anafanya majumuisho yake so anayejitolea kwenda bila shuruti anaingia peponi moja kwa moja!

sasa nahisi na wewe unaweza ukawa wa mwisho kwenye ile idadi ya ............ jitahidi tubu makosa yako yote
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom