Recent content by Centipede Jr

  1. Centipede Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi wangu wa zamani wamepigwa na bwana zao, wote wamejikuta wapo kwangu usiku wa manane

    Mmh,kama ya kusadikika hivi
  2. Centipede Jr

    JamiiForums Tanzania Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

    Never ever...
  3. Centipede Jr

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    you must be a very senior official in Uhuru’s regime.
  4. Centipede Jr

    JamiiForums Tanzania Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Wote tuna macho, tujalliwe uhai tutaona trh 26. In short only shallow minded people will even bother to argue about this none sense. If at all there was to be a protest, there would have been clearly defined items over which people are for, an on top of that it should have been proven that other...
  5. Centipede Jr

    JamiiForums Tanzania Tarehe 26 April Around the corner, msijisaulishe kuandama

    Hapo February, March na April mwanzoni, kuna wanaharati na wakereketwa wengi sana walikua na munkari ya kuandamana hapo ifikapo tarehe 26 mwezi huu wa nne. Jinsi siku zinavyosogea naona kaukimya kuhusu hilo swala kanazidi kitawala, sijui ndo wameshasahau? Nimeamua kuwakumbusha Jaman...
  6. Centipede Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwa kweli hawatabiriki

    Endelea kufanya research
  7. Centipede Jr

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

    Daah, sijui ni ushamba wa mitandao... so Watu wakishamjua huyo wife wa jamaa then what?
  8. Centipede Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Huo ndo uelewa wako, hulaumiwi. Kila taasisi/idara imeundwa kwa malengo flani, hence mgawanyo wa majukumu.
  9. Centipede Jr

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mazda demio club tubadilishane uzoefu

    Kuelewa na kunyambua mambo una daraja la F. Umaaikini wa maarifa ni ugonjwa mmbaya sana. Pole
  10. Centipede Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Napropose kuwa na somo la sheria za nchi na haki na binadamu/raia atleast kuanzia darasa la tano. Watanzania wengi ni very ignorants katika kujua sheria na haki zako.
  11. Centipede Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Hivi mkuu wa mkoa ni officer wa ustawi wa jamii? What a moron!
  12. Centipede Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Lesnar kashinda, ila naamini in the ring Roman is better than Lesnar.
  13. Centipede Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Hili nalo litapita
  14. Centipede Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya matumizi ya sauna

    Niko pembeni yako. Siti yangu asikae mtu
  15. Centipede Jr

    JamiiForums Tanzania Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

    No offense, wewe ndo mshamba mkuu.... tena mshamba kweli kweli .
Back
Top Bottom