Tarehe 26 April Around the corner, msijisaulishe kuandama

Tarehe 26 April Around the corner, msijisaulishe kuandama

Centipede Jr

Senior Member
Joined
May 13, 2017
Posts
158
Reaction score
215
Hapo February, March na April mwanzoni, kuna wanaharati na wakereketwa wengi sana walikua na munkari ya kuandamana hapo ifikapo tarehe 26 mwezi huu wa nne. Jinsi siku zinavyosogea naona kaukimya kuhusu hilo swala kanazidi kitawala, sijui ndo wameshasahau?

Nimeamua kuwakumbusha Jaman msijisahaulishe na kale kampango kenu, [emoji28][emoji28]... mkumbushane mwende huko barabaran ili mkapate hadithi za kuwasimulia wale waliowatuma. [emoji28]
 
Hahahahaha wameuchuna tuu utafikiri hawajui
 
Back
Top Bottom