JamiiForums Tanzania
Ezeb
Naiomba wizara ya elimu na watanzania wenye uchungu na nchi yetu kuingilia kati mpango wa EZEB(bod ya mitiani ya kanda ya mashariki) wa kporomosha na kudumaza elimu. Bodi hi imeshindwa kutimiza wajibuwake,mbali na mengi yanayo lalamikiwa,mimi nazungumzia ucheleweshaji. Ambapo kwa mwaka huu ni...