Recent content by cdf

  1. C

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Majibu yenu wengi kuhusu bulaya ni kama vile cdm itakuwa chama cha upinzani bungeni.
  2. C

    Polisi na bodabida waleta vurugu Bukoba

    Channel ten imeonyesha vurugu kubwa hadi mabomu ya machozi na mawe kutumika katika rabsha hiyo. Sababu kubwa ni police almaarufu kama tigo kumkamata mwendesha bodaboda baada ya kukiuka sheria. Je vitendo hivyo ni dalili ya waboda kuchoshwa na matendo ya police?
  3. C

    MV Kigamboni imezimika injine

    umefika saa hiz. Ndo limekokotwa. But ni kweli ni bovu.
  4. C

    MV Kigamboni imezimika injine

    ingine zimezima boti linapeperushwa na upepo kama jahazi. My take. Ccm imeshindwa kazi
  5. C

    Matumizi ya Mitandao ya Kijamii, CCM wamejipanga?

    Kwa siku za karibuni inaonyesha CCM wameamua kuingia kwa nguvu zote kukipigania chama kupitia mitandao ya kijamii. Wanajamvi hii itasaidia kuiokoa CCM isianguke?
  6. C

    Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

    Mwakabanje aka mic bob
  7. C

    Igunga: Mgombea CUF na kampeni zake

    Ukarimu tu huo. Kura hatapewa
  8. C

    Wabunge wa CCM wapigwa Mkwara

    kopi au cc wananchi, ni dawa kabambe zaidi ya kikombe cha babu
  9. C

    Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yagaragazwa Bungeni

    Waweke maslahi ya taifa mbele. Upinzani umesaidia hata magamba nao wanajitahidi kuchachamaa
  10. C

    Programme Officer, African Conservation Tillage Network

    African Conservation Tillage Network Vacancy: Program Officer –Duty Station: Nairobi Vacancy: Program Officer - Duty Station: Dar Es Salaam The African Conservation Tillage Network (ACT) is a Pan-African not for profit organization built on and driven by the values and principles required to...
  11. C

    CHADEMA kutoa tamko kufuatia kikao cha dharura cha kamati kuu leo

    saa tano hii, nini kinaendelea na hilo tamko?
  12. C

    Minister of Energy & Mineral Resources, William Mganga Ngeleja SLEEPING in 2011 EITI Meeting

    Afukuzwe kazi tu. Haiwezekani kodi tunayolipa ndo anaitumia hivyo
  13. C

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

    Wanatakiwa kujiuzuru kwa sababu hawajachukua tahadhari yoyote baada ya issue ya Mbagala. Siyo issue ya kufanya utafiti tena - kwa sababu tayari kuna findings.
  14. C

    Namna bora ya kupokea simu yenye zengwe.

    waambie marafiki wa kiume wakuandikie meseji za mapenzi. Mwambie mpenzi wako apokee. kataa then mwambie ampigie huyo mtu.
Back
Top Bottom