CHADEMA kutoa tamko kufuatia kikao cha dharura cha kamati kuu leo

Hayo yote yanamwisho.Nitafurahi kama tamko litaelezea njia mbadala ya kuhakikisha tunakuwa na umeme wa kudumu, kupita kwa wamiliki viwanda kupunguza bei ili mlipuko wa bei usiwepo,pia njia mbadala ya kutufanya sisi tusilipe deni la dowanz na mali zetu za nje ya nchi zisishikwe.
Pia nitajisikia faraja kama tamko litakuwa la hekima na si jaziba. Ugomvi wa CDM na Makamba tumesha uchoka.Kulalamika sana ni dalili mbaya

Njia mbadala ya yote hayo ni;

  • kuandikwa kwa katiba mpya.

  • Matatizo yote hayo ni ya kiuongozi zaidi so waliotufikisha hapa (CCM) waondoke madarakani; they are part of our problems, they can never be part of solutions for our sufferings.
 
Please let us know everythn there. Tupo online tunasubiri mtuhabarishe.
 
Wakuu hilo tamko bado tu... naona muda ushatimia jaribuni kufuatilia mtujuze!!!
 
Wakuu hilo tamko bado tu... naona muda ushatimia jaribuni kufuatilia mtujuze!!!

Bongo hii vuta subira. waandishi wa habari wamechelewa kuja, the thing is being processed. kaa mkao wa kula, kwa ndugu zangu mafisadi wakajambie chooni.
 
nilifikiri ni maazimio kumbe ni tamko(moja) anyway mda tayari tunaomba mtupe habari au ulikuwa ni uzushi tuu? au labda mgao wa umeme umechelewesha tamko kutolewa
 
Nilitembelea pale Big brother siku ya pili baada kuvunjwa nikawauliza jamaa wanategemea mbunge wao Mnyika atawasaidiaje kwenye hali ile, wote wakajibu kwa kejeli ATATOA TAMKO!! baada ya masaa machache mnyika akatoa tamko kweli. Na leo tunasubiri CDM watoe TAMKO.
 
kweli wewe ni mshabiki njaa,unajua jitihada Mnyika ndiyo ziliyoiweka serikali pabaya nakuwa tayari kuwalipa!usiwe mdaku fanya utafiti mzuri unategemea mbunge afanye nini zaidi ya kuwatetea watu wake kwa maneno na misukumo?
 
Kuna Update yoyote maana ina enda mida ya saa 8 tamko bado?tupeni upddate
 
Back
Top Bottom