Recent content by CCM OYEE

  1. C

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Hili ni la muhimu pia, nashindwa kuelewa waliotoa tamko wamelisahau vipi? ikifika x-mas utakuta ofisi zote za serikali zimepabwa na ukristo.
  2. C

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Udini kuwepo upo na wanaouendekeza ni waikristu na historia ya dini ya kikristu ina dhihilisha hilo. Ndio maana waliopinga hii hoja kwa asilimia kubwa ni waikristu ambao wanaficha iliwasionekane wadini. Mungekuwa si wadini wala msingejadili hii hoja. Rais mpaka sasa ameshateua watu 5. 2...
  3. C

    Mh. Freeman Mbowe awe Kiongozi Mkuu wa upinzani bungeni

    Hapo kwenye nyekundu, ni 12% ya idadi ya wabunge wote mjengoni.
  4. C

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Naomba kikwete uanze na haya 1. Kufuta msamaha wa kodi kwa mashirika ya dini 2. Kuwakomesha waikristo 3. TZ kujiunga na OIC 4. Kuanzisha mahakama ya kadhi
  5. C

    GE2010 Maandamano- uchaguzi tanzania jumamosi nov 6washington dc 2010, 10:am (white house)

    Watumwa wakubwa nyie, Oboma ndio baba yenu? Tz ni nchi huru aichaguliwi rais na Marekani. Mimi niko Washngton na si shiriki kwenye upuuzi wenu.
  6. C

    GE2010 CUF ingeungana na CCM ili tuweze kujua tunadili na nani

    CHADEMA wanachukia CUF kuliko CCM, sababu ya kuwachukia CUF nivile CUF inavyoonekana kama chama cha waislamu na CHADEMA cha wale wachukia waislamu (yaani waikristu). Pengo kasema mkubalimatokeo na msiandamane mmefuta maandamano yenu. sasa subirini yafuatayo: 1. Kufuta msamaha wa kodi kwa...
  7. C

    GE2010 Slaa ameshinda kwa 48%, JK 26%, Lipumba 15% On level field (2010)

    Acha kutukana kabila zima kwa sababu ya chuki ya mtu mmoja ambaye ni rais wako.
  8. C

    GE2010 TUSIFURAHIE KIUINGIZA WABUNGE WENGI WA UPINZANI (tafakari)

    Waislamu tumeshinda pambano la kwanza dhidi ya waikristu kwa kushinda urais. Sasa tunataka na uspika pia ili hawa jamaa waliojiandaa kuigawa nchi kwa misingi ya dini wakome. Pengo kasema wakubali matokeo na wao wamevunja maandamano yao. kwahiyo chochote wanachofanya kinatoka kanisani. CCM OYEE...
  9. C

    GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    Nendeni kanisani mkalalamike, waislamu oyeee, ccm oyee, tutaonana 2015. Udini wenu haukufanya kazi kikamilifu
  10. C

    GE2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

    Waislamu oyeeeee, waikristu nendeni mkandamane kanisani tutaonana 2015.
  11. C

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Waikristu mmeshindwa mnaanza kulia kulia. Poleni sana tutaonana 2015. Ccm oyee, waislamu oyee
  12. C

    GE2010 SECRET PLOT REVEALED: Kikwete aongoza, Lipumba wa pili, Slaa wa tatu

    Nyie watu wa CHADEMA ni watu wa ajabu sana. kwani Lipumba kupata kura nyingi kuliko Slaa ni tatizo? au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni Waislamu vs Waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo. Lete kura za ububge...
  13. C

    GE2010 Wana kyela WHAT THEY PROMISE IS WHAT THEY DELIVER NO JOKES

    NCCR 1995 ilikuwa nayo juu, CUF 2000 ilikuwa juu CUF 2005 ilikuwa juu kidogo Je sasa viko wapi? ndicho kitakachoitokea CHADEMA 2015
  14. C

    GE2010 Dr. SLAA USIKUBALI, HAIWEZEKANI UMATI WOTE ULE UKUSALITI!

    Kwani waliogombea ubunge wamepataje ili tuweze kulinganisha?
  15. C

    GE2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    Nyie watu wa CHADEMA ni watu wa ajabu sana. kwani Lipumba kupata kura nyingi kuliko Slaa ni tatizo? au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni Waislamu vs Waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo.
Back
Top Bottom