Elections 2010 Dr. SLAA USIKUBALI, HAIWEZEKANI UMATI WOTE ULE UKUSALITI!

Possible mkuu kuna watu walikuwa wanafuata helcopter Pumbavu kabisaa hawa.
Kata ya Mkwawa Iringa watu kama 189 hawakuja kupiga kura kati ya 388 na wengi wao ni vijana hopeless kabsaaaaaaaaaaaaa

Hata JK naye alikuwa anatumia helikopta. Sidhani kama hiyo ni right response..........kuna mchezo umefanywa. Msione Dr. wa Ukweli katulia, anajua anachokifanya. Alijua haya yanakuja, anaelewa zaidi kuliko sie hapa. Tuwe na subira, ukombozi ndo sasa umeanza ndugu yangu.
 
Rejea umati wote uliokuwa unakulaki,wengine kukuita Mussa kuokoa wanaisrael,wengine mkombozi, eti leo unapata kura kidogo namna hii,

Sio kweli kabisa eti wajiandikishe watu laki moja halafu wapiga kur wawe elfu arobaini,lazima wamefutilia kura zako nying sana na kuacha za mafisadi.

Kama ni vita wao mafisadi ndio wanaanzisha kwa kuchakachua matokeo,

Tanzania bili kitekwe inawezekana!

Absolutely wanawatisha wananchi kwa mabomu nk hakuna kukubali peremende kwenye meza za Mafisadi Aluta continua kwani wao wana kibao cha kutawala? CCM na serikali yao ndio wanaanzisha fujo kwa nini hawatoi matokeo yote? Huwezi kusema ati majimbo 50 tu ndio yamekamilika huko kwingine walikuwa wanahesabu pesa? Ujinga kama huu pelekeni Bagamoyo walikochukuliwa watumwa sio kwenye enzi hii ya technologia. Tunataka matokeo sivyo hii nchi haitatawalika kwani akina Mkwawa, Mirambo, Seuta, Chaburuma nk. walipigania nini? Au sisi tulivyokuwa tunawasaidia nchi za kusini mwa Afrika ilikuwa kwa sababu gani? Ili JK na familia yake wawe masultani? You must be joking!
 
Sasa nimeelewa kwa nini katika baadhi ya nchi za kiafrika huzuka migogoro mikubwa baada ya chaguzi.
Matokeo yanayoendelea kusomwa kwa vyombo vya habari na tume hayaingii akilini hata kidogo na kuna kila dalili za kuchezewa.
Sote tumepita na kuyaona matokeo yaliyokuwa yanabandikwa vituoni na si siri kura za Dr. Slaa hazikuwa zikipishana kwa mbali namna hii na za Kikwete. Sasa hizi zinazosomwa na Tume sijui wanazitoa wapi kwani kamwe haziwakilishi hali halisi uwanjani.
Minashauri CHADEMA waende Mahakamani kuzuia utangazaji wa kura zilizochakachuliwa na hawa mafisadi ambao wengi wenye mapenzi ya dhati na nchi hii walipiga kura kuwaondoa.
Hapa kunajitokeza msisitizo wa umuhimu wa kuwa na tume huru isiyo na harufu ya kifisadi, yaani inayoteuliwa na mtu mmoja ambaye waziwazi ameonyesha kila dalili za kukumbatia ufisadi. Mwanzoni nilikuwa nashangaa kama tume "go" electronic katika kucheki hadhi za mpiga kura kwa nini wataalamu wa IT wa Tume walishindwa kubuni system ambapo mtu angeweza kupiga kura yake akiwa popote nchini, kura hiyo kuhesabiwa kielectroniki na kuhesabiwa papo kwa papo. Mfumo wa namna hii unatumika hata na nchi ndogo kama Msumbiji na unaondoa uwezekano wa mtu kupiga kura kwa zaidi ya mara moja, unaharakisha matokeo, kupunguza ghasia za wapiga kura wenye shauku ya kuona matokeo ya walichokipigia kura na kupunguza ufisadi kama tunaoushuhudia sasa.
Inaelekea matokeo ya kura za urais yanapikwa ili yafanane na zile asasi zilizotoa tafiti fake.
Mbaya kabisa ni ufisadi uliopandikizwa katika Katiba wa Rais kupatikana kwa "Simple" majority na hakuna ku"challenge" kura za urais mahakamani.
CCM wanachekelea na kuimba "idumu" katiba "nzuri" yenye mianya inayobariki uhalifu wao, lakini watakuwa wa kwanza kudai katiba endapo washindani wao watachukua madaraka.
Kuchezea kura za watu ni hatari kwa vile kunawadhalilisha waliofanya uamuzi wa kuchagua walichochagua, ndiyo maana tumeshuhudia fujo na zahama kule Mwanza, Kigoma, Shinyanga na kwingineko kulikoashria dalili za mchezo mchafu kutendeka.
Nionavyo udhalilishaji huu hautasameheka kamwe na wananchi watakapopoteza uvumilivu lawama zitakuwa kwa CCM.
Mungu ibariki nchi yetu, tuepushie balaa linalopikwa na mafisadi CCM.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
sasa ninaelewa ni kwanini haki inapoibiwa/kataliwa.......watu hujitoa MHANGA.............damn!
 
Sasa nimeelewa kwa nini katika baadhi ya nchi za kiafrika huzuka migogoro mikubwa baada ya chaguzi.
Matokeo yanayoendelea kusomwa kwa vyombo vya habari na tume hayaingii akilini hata kidogo na kuna kila dalili za kuchezewa.
Sote tumepita na kuyaona matokeo yaliyokuwa yanabandikwa vituoni na si siri kura za Dr. Slaa hazikuwa zikipishana kwa mbali namna hii na za Kikwete. Sasa hizi zinazosomwa na Tume sijui wanazitoa wapi kwani kamwe haziwakilishi hali halisi uwanjani.
Minashauri CHADEMA waende Mahakamani kuzuia utangazaji wa kura zilizochakachuliwa na hawa mafisadi ambao wengi wenye mapenzi ya dhati na nchi hii walipiga kura kuwaondoa.
Hapa kunajitokeza msisitizo wa umuhimu wa kuwa na tume huru isiyo na harufu ya kifisadi, yaani inayoteuliwa na mtu mmoja ambaye waziwazi ameonyesha kila dalili za kukumbatia ufisadi. Mwanzoni nilikuwa nashangaa kama tume "go" electronic katika kucheki hadhi za mpiga kura kwa nini wataalamu wa IT wa Tume walishindwa kubuni system ambapo mtu angeweza kupiga kura yake akiwa popote nchini, kura hiyo kuhesabiwa kielectroniki na kuhesabiwa papo kwa papo. Mfumo wa namna hii unatumika hata na nchi ndogo kama Msumbiji na unaondoa uwezekano wa mtu kupiga kura kwa zaidi ya mara moja, unaharakisha matokeo, kupunguza ghasia za wapiga kura wenye shauku ya kuona matokeo ya walichokipigia kura na kupunguza ufisadi kama tunaoushuhudia sasa.
Inaelekea matokeo ya kura za urais yanapikwa ili yafanane na zile asasi zilizotoa tafiti fake.
Mbaya kabisa ni ufisadi uliopandikizwa katika Katiba wa Rais kupatikana kwa "Simple" majority na hakuna ku"challenge" kura za urais mahakamani.
CCM wanachekelea na kuimba "idumu" katiba "nzuri" yenye mianya inayobariki uhalifu wao, lakini watakuwa wa kwanza kudai katiba endapo washindani wao watachukua madaraka.
Kuchezea kura za watu ni hatari kwa vile kunawadhalilisha waliofanya uamuzi wa kuchagua walichochagua, ndiyo maana tumeshuhudia fujo na zahama kule Mwanza, Kigoma, Shinyanga na kwingineko kulikoashria dalili za mchezo mchafu kutendeka.
Nionavyo udhalilishaji huu hautasameheka kamwe na wananchi watakapopoteza uvumilivu lawama zitakuwa kwa CCM.
Mungu ibariki nchi yetu, tuepushie balaa linalopikwa na mafisadi CCM.

mchaga asili yake wizi ndio maana hajiamini kila wakati anaona anaibiwa tuu!
 
Rejea umati wote uliokuwa unakulaki,wengine kukuita Mussa kuokoa wanaisrael,wengine mkombozi, eti leo unapata kura kidogo namna hii,

Sio kweli kabisa eti wajiandikishe watu laki moja halafu wapiga kur wawe elfu arobaini,lazima wamefutilia kura zako nying sana na kuacha za mafisadi.

Kama ni vita wao mafisadi ndio wanaanzisha kwa kuchakachua matokeo,

Tanzania bili kitekwe inawezekana!
Kama alikosa uadilifu hata kwa mke wa mtu unategemea anaweza kuwatendea uadilifu watanzania?
Watu wamestuka!.
 
mchaga asili yake wizi ndio maana hajiamini kila wakati anaona anaibiwa tuu!

Japokuwa jina lako halifanani na ulichosema nakuongezea jina toka kwa mwl Nyerere> "kaburu". Tunakujua kwa maneno yako tu, "wala hatukuonei haya kukuita KABURU". Ukabila ulitoka wapi hapa, tangu lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom