CUF ingeungana na CCM ili tuweze kujua tunadili na nani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF ingeungana na CCM ili tuweze kujua tunadili na nani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kiherehere, Nov 5, 2010.

 1. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  ni kama vile CUF wameshakata tamaa ya mbio za kuitoa CCM, so nigeshauli kama kuna uwezekano ingawa siwezi kuwafikia wakuu wa chama hiki, nigeomba kiungane na CCM ili kiweze kuunda CCMCUF ili tuweze kudili nao straight kuliko hivi kinavyo backbite
   
 2. n

  nkosiyamakosini Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ume-frustrate wewe!
   
 3. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kwa kumuomba kikwete japo achukue ilani yao na kusema ule ni ushindi saaafi ni dalili za kukata tamaa, bora muungane tujue moja
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nilishasema CUF hawako kwa ajili ya Watanzania. Udini unawasumbua. Waungane na CCM tujue moja.
  Hawa ndo wanaokwamisha juhudi za kudai Tume Huru ya Uchaguzi nyamb#$%fu kabisa
   
 5. P

  Pilipili Juice New Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli badala ya upinzani kuunganisha nguvu nashangaa huu ubinafsi unatoka wapi? Ameahidiwa nini?
   
 6. S

  SAMMATA Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sizitaki mbiji hiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 7. w

  werema01 Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo liko wazi, upinzani ungesimama pamoja kupinga hayo matokeo yasiyo haki...... Lakini tumeshuhudia wenzetu wakienda kumpongeza jk, ni wenzetu kweli?

  I believe they are traitors who do not tell the truth, thats why we say chadema and cuf will never unite. I am adding tlp and nccr mageuzi to the list........

  They better ally with ccm openly.....

  Chadema the only viable party to lead this country
   
 8. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  yeah it true cause it was a best chance for this fucken traitor LI-pumba to give a back-up Mr. President Slaa during the campaign. Leo anaomba Kikwete achukue ilani yake!!!!! fool of a took sijui anawachezea wanyamwezi tu au na sisi watoka mbali??
   
 9. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF is an extension of CCM. They do not want the people of Tanzania to live better lives.
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Ahhhhhhhhhh Wapi, hana ujanja huo, na uwakika ata akigombea UENYEKITI WA KIJIJI alipo zaliwa kijijini kwao HAPATI!
  Mgombea gani hata kwao hana support, angalia PPT-Maendeleo support walio nayo kijijini kwao n ani kwa sababu ya Mziray, Kifupi kama hukubaliki hata kwenu aunahaja ya kugombea chei chochote che siasa.
   
 11. C

  CCM OYEE Member

  #11
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  CHADEMA wanachukia CUF kuliko CCM, sababu ya kuwachukia CUF nivile CUF inavyoonekana kama chama cha waislamu na CHADEMA cha wale wachukia waislamu (yaani waikristu).

  Pengo kasema mkubalimatokeo na msiandamane mmefuta maandamano yenu. sasa subirini yafuatayo:

  1. Kufuta msamaha wa kodi kwa mashirika ya dini

  2. Kuwakomesha waikristo

  3. TZ kujiunga na OIC

  4. Kuanzisha mahakama ya kadhi
   
 12. Spartan

  Spartan Member

  #12
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naunga hoja
   
 13. M

  MSAUZI JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 228
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huu muda wa kufanya kazi punguzeni kelele uchaguzi umekwi?...umekwisha
   
 14. K

  Konde Member

  #14
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe kuna wa tz bado ni mbumbumbu....wewe kiherehere unachoilaumia CUF ni nini?....hii jf imeingiliwa na watu viherehere..... unajua maana ya iyo nick name yako?...bora ukae kimya tu mtu wg kama huna cha kuongea....shame on u!
   
 15. k

  khoty Member

  #15
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtadili na chadema wenzenu ngoja bomu lilipuke miezi mitatu ijayo, tutaona kelele za chadema kama wanatutakia wema watanzania, kidumu chama cha mapinduzi
   
 16. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  katika hesabu za set tunasema CUF is subect to CCM yaani CUF imo ndani ya CCM au ni sehemu/tawi la CCM
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nilishasema (LINI, TUPE MUDA, SAA NA TAREHE ) CUF hawako (WEWE UKO KWA AJILI YA SLAA?) kwa ajili ya Watanzania (KAMA WEWE PIA). Udini unawasumbua (MBONA CHADEMA UCHAGGA UNAWASUMBUA, UKABILA HUO) . Waungane (HAWAWEZI WAO NI WAPINZANI) na CCM tujue moja (UMEISHA JUA SASA HAWAWEZI KUUNGANA) .
  Hawa (NA WEWE UKIWAMO) ndo wanaokwamisha (WEWE NDIO KIKWAZO ZAIDI) juhudi za kudai Tume Huru ya Uchaguzi (TUME ILIYOPO NI HURU NA YA HAKI, NA WW UNATAKA UWEMO ?) nyamb#$%fu (WEWE NDIO WA KWANZA KWA UJINGA KUMBE) kabisa
   
 18. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mNALOJADILI HALINA TIJA NI UPUUZI TUJENGE TANZANIA YETU KWA PAMOJA UCHAGUZI UMEKWISHA.HAKUNA OIC WALA KADHI

  KAMA IMESHINDIKANA KUBADILI KATIBA ILI KUWA NA TUME HURU ITAWEZEKANAJE KUBADILI KATIBA KUINGIA OIC OR KADHI??????? MSIPOTEZE MUDA SOTE NI WATANZANIA NA TUMEOLEANA TUKO JAMII MOJA.CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.BIGUP DR.SLAAAAA
   
 19. c

  carmsigwa Member

  #19
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwaufupi CUF wanatambua process yote ya uchaguzi na kuapishwa mporaji kuwa prezida kamandivyo hivyo nilivyo wasoma nao nawa weka kwenye kapu moja na wachakachuaji wa demoklasia katika nchi hii haijarishi wamesema nini lakini kitendo cha kukumbatiana na mharifu ni ishara tosha kuwa na wewe nimharifu
   
Loading...