Wewe ndokisababishi kwako unajua hakuna kinga naunajua hana cha kujitetea unamakosa sana ngoja iwake tuje kuzima ikiwa kilakitu kimejulikana pole na hongera kwa kijacho ulijitahidi wengine wanatafuta mpaka sasa hawajapata
Hatupo makini ukiona wambali kakujua basi nikujitambua maana atamlev akitumia pesa vibaya kwenye pombe hawezi kuiona hasara ambaye hutumii utamuona mtumiaji
Daaah ebwana unajua shughuli yakumwandaa bata ili awetayari kulika lakini hapo ndonaona wanchemka wapishi niwachache sana na bata kabla hujamchinja anaitaji maandalizi sio kama ndege wengine
Hivi kunamajimbo hambayo hayana kero zozote kweli au hawa walikua wanasubiria 2 mshahara na zile posho wakalee familia zao jamani tusimame kwa nguvu kujua haki zetu zinafikishwa sehemu husika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.