Recent content by CATHY ALPHONCE

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi simpendi mke wangu

    Duh pole sana na hongera kwa kuwa mvumilivu. But mwenye last decision ni ww hata kama watu milion wakikushauri haitasaidia kitu. Fanya maamuz sahihi ambayo unafikir hayatakudhuru. Kwa mazingira hayo unayoishi na mkeo upo at risk position. Amani ni kitu cha msingi sana ktk maisha. Sasa kama mkeo...
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akipenda inakuwa kero

    Aise guyz bhana mkipendwa na sheeeda na msipopendwa ni sheeeeda tufanyeje wenzenu.... tupe mbinu mbadala ili tusiwe tumawamic na kuwasumbua.....!!!
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yananiumiza naombeni uzoefu wenu tafadhali

    Kwani ulizaliwa naye hata umng'ang'anie? achana naye ackuumuze kichwa ucje ukaja kujuta bureee!! pole mwaya
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya siku ya ndoa yangu

    so attractive story!
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yangu anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo chini baada ya habari

    mwambie aende akapime ili awe na uhakika na afya yake. kupima ndo jambo la msing
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

    Ukwel huyo mkeo anatakiwa kambiwa reality jinsi maisha yanavyokwenda coz cku hiz maisha ni mafupi sana. Hivyo bac hata kama utawaandalia watoto maisha yao ya baadaye atashindwa kuhandle familia vzr zaid ya kufuja mali. jaman maisha ni kusaidiana
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda, Nampenda....nimekuwa addicted kwake bt aliniacha ghafla...ni mwaka sasa nateseka!

    Ebu msahau kbs assume alishakufa! fanya mambo yako think about ur future forget about past step foward......!!!
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyeje mwanamke huyu?

    fanya uamuz ambao ni wa busara na ambao utakufanya uwe confortable huyo mwanamke hujazaliwa naye chukua hatua haraka coz itakucost.
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana

    Achana na huyo mwanamke coz anaonekana c mwaminifu kbs.
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

    Mwenyez mungu awajalie penz lenu lizid kuchipua cku hadi cku. mwomben mungu sana awatetee na awaongoze zaid ya hapo mlipofikia
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Ama kwel ww dada huna hata chembe ya hofu ya Mungu ndani ya nafsi yako! kumbuka bila huyo mwanamme ambaye hamuendan kwa sasa ucngepata hata hiyo degree! na pengine ucngelimpata hata mwanamume ambaye pengine unafikiri mnaendana kwa sasa. think twice.
Back
Top Bottom