Baada ya siku ya ndoa yangu

Baada ya siku ya ndoa yangu

Kibebi hiyo kesho nakuombea na iwe usiwe kama Mzizi mkavu,eddy kafia kifuani hata atuambii wanaMMU tupeleke hata rambirambi
 
Kibebi story yako tunataka tuitungie filamu, unafkiri jina gani tuitee??
 
Scene ya kaburini inaumiza kwakweli

Scene ya mapenzi inasisimua na kuhamasisha


Hao kaka zake Sheila haoo
 
Ila kibebi sijaelewa huyo Robi ameingiaje hapo?? hebu tuweke barabarani..
 
We kibebi umeenda wapi jamani??? kuja hapa malizia hadithi yako...
 
hakika tamu, ila nna waswas huyu kibebi ni msanii wa filamu za bongo!
 
, Asubuhi na mapema niliammka na kuswaki, kisha nilijitupia kanga na kuelekea kaburini kwa mama, nilifika na kpiga magoti,, nilimuita mama,,, " Mama yangu mpenzi, mama uliyekuwa nguzo yangu,,,, mbona umeondoka u kaniachia taabu nyingi hivi? mama yangu nifanyeje? mbona ninatengwa na jamiii/ ndugu zangu wa damu wananitenga niende wapi mama?ni bora uniite nije nikae na wewe kaburini nipate amani kuliko kuwa hai na kukosa amani,, mama yangu weeee, mamaaaaaaaaaaaaa" Nililia lakini sikusikia sauti ikinijibu... Nilitulia kwa muda kisha nikasikia sauti ikinsema kwa upole,,, Sheila, Sheila, Sheila.... Niliamini ni mama ananisemesha, sikufungua macho ili nimsikilize zaidi, kisha nikamwambia niambie mama yangu nakusikiliza,, .. Kisha nikahisi mtu ananishika mabegani mwangu,,,, Sheila, sheila huku akivuta makamasi kuonyesha na yeye analia, bado sikufungua macho nikiamini mama kuna anachotaka kuniambia................... Alinikumbatia na kusema usilie inatosha,,,, usilie Sheila......... nilichukua nami mikono yangu nikamkumbatia bado nikiwa nimefumba macho.. na kuendelea kulalama mama nichukue nife na wewe nichukue mama.....................
Kisha nikahisi mtu ananishika mabegani mwangu,,,, Sheila, sheila huku akivuta makamasi kuonyesha na yeye analia, bado sikufungua macho nikiamini mama kuna anachotaka kuniambia................... Alinikumbatia na kusema usilie inatosha,,,, usilie Sheila......... nilichukua nami mikono yangu nikamkumbatia bado nikiwa nimefumba macho.. na kuendelea kulalama mama nichukue nife na wewe nichukue mama..................... Alinikumbatia kwa upendo haswa, wakati wote nilikuwa naamini ni mama yangu mzazi amefutuka kaburini, taswira yote niliivuta nilijua ni mama,, nilipofungua macho sikuamini kuona ni dada yangu,,,, amesimama pembeni na ananiambia Sheila mdogo wangu, hongera umefaulu unatakiwa kuendelea na elimu wala usilie tena mamiii, usilie kabisa mdogo wangu,, alinifuta machozi na tukaondoka kuelekea kwa shangazi..... tulifika kwa shangazi na tuliongea mno, Shangzi alionekana kuna jambo analo kichwani mwake lakini aliogopa kusema mbele ya dada. Hivyo dada alipoondoka na kuniahidi kuja kunichukua na kunipeleke shule,, ... Shangazi alipata uhuru wa kuzungumza na mimi. Shangazi yangu ni mwanamke mchapa kazi anayejiamini mno. Aliniita na kuniambie nisogeze mkeka. Nilivuta mkeka na kukaa karibu kabisa na yeye, huku namfumua nywele zake.

Dah hiki kisehem kimenitoa machozi kwakweli, na haijawai nitokea
 
Mkuu! hujui kuandika stori, yaani mistari miwili tu nimechoka kusoma! hebu jipange vzr!!!
 
kibebi umeuza wenzio grupuni wewe

Mtenda akitendewa huhisi kuonewa. Mle mbona mnasoma vya wengine kutoka sehemu nyingine? kutoka sintah, mama uturn, mbutananga nakadhalika? Maadili yamezingatiwa kwani sijataja jina halisi la mtu. Kutaja chanzo ni kumtaja mhusika swala ambalo si sahihi nitakuwa nimemuanika hapa. Muwe fair kiasi flani.

Nitarudi baadae- 私は後で戻ってくる
 
Pole sana mama....i can't imagine kuna watu kama hawa dunia hii??

Trust in Lord,Verily his all Knower:disapointed:
 
ulichofanya sicho


Ingawa umejizolea umaarufu jf





Mtenda akitendewa huhisi kuonewa. Mle mbona mnasoma vya wengine kutoka sehemu nyingine? kutoka sintah, mama uturn, mbutananga nakadhalika? Maadili yamezingatiwa kwani sijataja jina halisi la mtu. Kutaja chanzo ni kumtaja mhusika swala ambalo si sahihi nitakuwa nimemuanika hapa. Muwe fair kiasi flani.

Nitarudi baadae- 私は後で戻ってくる
 
Back
Top Bottom