Moyo wangu umeumia sana

Moyo wangu umeumia sana

hayajakufika ndugu na wewe iko siku watakuita ----- !!! halafu huko kugegeda kuna mwisho, cku ukitaka kuoa utagegeda na kusepa hadi lini?

mie mwenzio nitao by the way.....
 
She was not only yours kaka, some body a real man like you might impregnated her na ndomana kaitoa kwa matakwa ya huyo mwanaume. Pili alikwambia kuwa ana mimba maana hakujua kama atakapompa taarifa huyo jamaa labda angekana na kumdump so she was tying to create a reasonable environment kwako ili kama itatokea jamaa kumdump basi angeendelea nawe na kulea mimba ambayo sio yako. Tatu hakupendi, she was with you for some thing that she has been real benefited with, and now she is getting it from that guy she is dating.
Achana nae tulia utapata mwingine atakaye kupenda kwa thati. They are many, but it's hard to find a true one kaza buti kaka
 
Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao lakini anajitetea kuwa hakuwa nao.Mbaya zaidi kwa sasa ananijibu kwa kauli mbovu sana na hata muda wa kuongea nami hana zaidi ya kunikatia simu napata shida kuacha kumtafuta na kusahau yote niliyoshirikiana nae naomba ushauri wenu nifanyeje au niendelee kupigania haja ya moyo wangu?
Sepa faster....
 
nadhani wewe unasubiri kuambiwa "SIKUTAKI" ndio utaelewa,,umeshasema mrembo jiulize una mkwanja wa kutosha kumuhudumia mrembo????unajua mabalaa ya baadhi ya wasichana warembo??waulize wenzio...

kaka chapa lapa,maisha popote na hajazaliwa kwa ajili yako...amini utapata zaidi yake..maumivu utakayopata ya muda tu yatapoa lakini utaishi maishi ya amani kuliko kukumbatia bomu ambalo litalipua future yako.
 
Umeepushiwa, songa mbele.

Time heal utamsahau tu, and the perfect person for you will come in no minute.

Kaza roho, endelea na maisha.
 
Hiyo dhana ya urembo wake unayoisema ndio chanzo cha mateso yako ndugu.Atakuburuzaje alafu bado unasema mzuri machoni mwako? Chukua hatua ndugu maisha ni bora kuliko hayo mapenzi unayopigania.
 
Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao lakini anajitetea kuwa hakuwa nao.Mbaya zaidi kwa sasa ananijibu kwa kauli mbovu sana na hata muda wa kuongea nami hana zaidi ya kunikatia simu napata shida kuacha kumtafuta na kusahau yote niliyoshirikiana nae naomba ushauri wenu nifanyeje au niendelee kupigania haja ya moyo wangu?

Pole sana Mtonyi.. Ila kumbuka kusoma signature yangu hapo chini..
 
Back
Top Bottom