Sema ukilelewa na mama mjinga mjinga. Wengine tumelelewa na mama peke yake lakini mwenye kujielewa na uwezo wa kucheza vizuri 'father figure' na hakika hata pengo la Baba halionekani kwenye tabia na mwenendo kwa ujumla wake
Inaonekana hujapita kabisa eneo hilo
Ila kwa ufupi kuna kituo kikubwa sana cha ukaguzi wa magari eneo Karibu na ilipo mizani...Na kuna wakati wanakuwapo Askari wa kutosha wanaoletwa na coaster kabisa ya PT
Chama chenye miaka zaidi ya 30 kinachoshikilia dola...chenye kujigamba kuwa Na wanachama zaidi ya Million 8 walioiva kiitikadi...chama kilichojengwa katika misingi ya TANU (Hivyo kuwa Na uzoefu wa zaidi ya miaka 50).....kinapofikia kuhalalisha udhaifu kwa kujilinganisha na chama cha "juzi"...
Nimenunua viwanja Mradi wa viwanja Mvomero na agizo juu la kulipa hiyo 10% tena kwa akaunti rasmi ya Halmashauri inayojulikana kama "DED Mvomero Miscellaneous"
Ninaposoma hii thread unajikuta niko confused maana hiyo 10% niliyolipa kwa Jan ni hatari
Najaribu kuwaza
1. Taasisi za serikali funga akaunti zote na bank
2. Fukunyua za zamani hakikisha zote zimerudi
3. Aliyekuwa waziri mkuu akalazimika kutoka kama mjumbe wa Bodi akihofu labda yeye ndiye Yona kwenye meli
4. Nini kinafuata??
Alamsiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.