Recent content by casta mvungi

  1. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

    Aseeee [emoji54]
  2. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa kinga za kiroho

    Amina kaka.
  3. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Mjadala mtamu sana huu. Naomba kaka Mshana Jr ni tag kwenye huo mwingine uhusuo "laana" Nashauri wale wafia dini wakae pembeni wabaki kuwa wasomaji tu maana kwetu tunao taka kujifunza mambo mapya mnakuwa kero. Tulieni muwe wasikilizaji na wasomaji zaidi,pengine ikawajilia neema mkapata kujifunza...
  4. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Nawasoma vzr tu. Kazi yangu ni kutafakari kwa undani.
  5. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rabininsia huduma zenu ni mbovu, boresheni

    Yote kwa yote nenda Regency Hospt Upanga bhana. Yaani ukiandikiwa na Dr uenda maabara ujue ndo umefika na kibaya zaidi unaweza kufika asb baada ya mzunguko wa kuonana na Dr akakwambia nenda maabara kapime mfano damu, mkojo au choo ujue umekwisha, sikilizia music wake hapo, utashangaa saa moja...
  6. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa anayejipambanua kama msaada wa wasio na watoto

    Nami nawasubiri.
  7. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha usikivu wa (masikioni)

    Dah,imenisikitisha mno kwakweli. Nakushauri nenda pale Shule ya Msingi Buguruni Viziwi watakusaidia,maana pale huwa mashirika na wafadhili mbali mbali hujitokeza mara nyingi sana hasa shirika la waamerika liitwalo Star Key hawa hujitolea kuwapima na kuwapa wahitaji hawa vifaa hivyo bure kabisa...
  8. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kukata roho

    Kuna kitu nimejifunza hapa. 1.Dini ni imani tu lengo ikiwa ni kuifanya dunia kuwa na amani. 2.Vitabu kila imani ina vitabu vyake na ina viheshimu hivyo huwezi kumlazimisha mwenzio aamini chako. 3.Kila kiumbe kina Mungu wake. 4.Ulimwengu wa roho upo hii haina shaka na kila mmoja anao uwezo wa...
  9. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

    Hapa nakubaliana nawewe kabisa. Tena watu wasilete kejeli ktk hili maana nature iko wazi pale jinsia mbili zilipo umbwa na kutengenezwa. NDOA ilikua ni mpango kazi wa Mungu kwa maana ya kumpa Adam msaidizi ili wasaidiane ktk kila jambo,hivyo ni kweli kabisa kwamba hizi jinsia zinategemeana mno...
  10. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Mmmh mambo ni motoooo. Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
  11. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Wale wa Kilimanjaro tukutane hapa...

    Heheheeeeeee kaichukue tu maana kikweli wachagga mlijisunda mno Stop-over acha mpanguliwe.
  12. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Wale wa Kilimanjaro tukutane hapa...

    Heheheeeeee chagga hazinihusu hapa. Mi ndo mtani bomba. Kwetu Ngulu Mwanga Kilimanjaro makazi Dar
  13. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu jinsi ya kuishi na mwanamke bila kumpiga makonde

    Usilazimishie kiki. Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
  14. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu jinsi ya kuishi na mwanamke bila kumpiga makonde

    Nyoooo zaa wako ndo umgeuze ngoma. [emoji35] Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
  15. casta mvungi

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Ila mi nashauri wale wote wenye matatizo ya ndoa au mahusiano wanapoleta malalamiko yao humu basi wahakikishe au wajitahidi na wenzawao wanakuwemo humu tusikie pande zote ili kama ni ushauri tutoa baada ya kusikia toka kwa wote bila hivyo binafsi naona ni kupoteza muda tu… Jitahidini iwe kama...
Back
Top Bottom