Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Akirudia sindio vizuri networker aliengia jana ataonaje yakwako miezi kadhaa
 
Hamjui kama star times wamo humu tena verified.

Mkuu watu wanajua na wameamua makusudi kuwahuni wachina wa watu. Ila nimecheka sana maana nimekumbuka kipindi kile tunaanza kulipia sms kwenye mobile watu walikuwa wanatoa code kama hizi. voda wanabadili inaleak wanabadili. Utasikia mtu anakutext kuwa sasa tupo kwenye no hii unaweka zinakubali. It was so fun.
 
Back
Top Bottom