Recent content by CasparyTz

  1. CasparyTz

    Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Samahani Lwajabe n nani nisaidie nipate kujua ndugu:• Sent using Jamii Forums mobile app
  2. CasparyTz

    Magufuli ahoji: Wapinzani wanapinga bajeti yangu kisha wanaomba niwapelekee maendeleo?

    Naomba mnisaidie tofauti ya kuteuliwa na kuchaguliwa msaada waungwana....
  3. CasparyTz

    Hukumu ya uchaguzi Kenya yaendana na msimamo wa Jecha?!

    Unaonekana c mfatiliaji ila umesikia tu hizi habari.... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. CasparyTz

    Sakata la Ndege: Uchambuzi na maswali ya Zitto juu ya Ripoti Maalumu ya Gazeti la Jamuhuri

    Mambo vp !!?? [emoji74] ebu soma kwa umakini post pia soma au pitia comment za wachangiaji wenzako unaweza jifunza k2 au kumpata m2 anaelewa zaid yko ukawa umeelewa kdgo au vp kaka napita tu maana nimekufatilia umekuwa ukibisha 2 sasa sijajua utaishia wp !
  5. CasparyTz

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Ndio mana mwenzio kauliza kwann akiweka ibilis ??? [emoji74] Napita 2.......
  6. CasparyTz

    Watumiaji wa Mitandao na Watanzania tumelishwa tango pori kuhusu mtoaji Bastola kwa Nape pale Protea

    Ungezileta tu hizo picha tufananishe hapa hapa au vp mkuu !!!
  7. CasparyTz

    Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    Umewaza vzr umeona mbal pia, huu uhuru unaoitajika hapa au unaotajwa hapa hata kwenye uchaguzi mkuu unaitajika pia 'maana tume ya uchaguzi inaundwa na chama tawala au serikali iliyoko madalakani kwaiyo tunapolalamika hapa kwenye uchaguzi mkuu watu wakilalamika msione kero !!!
  8. CasparyTz

    Makundi ya kumsafisa RC Dar!

    Sasa hapo ndg yngu umeondoka na mawazo yako wakat tunayaitaj il na cc tusiojua mbele wala nyuma tupate ufahamu kidgo na ubongo upate chochote kitu ama nn ^funguka ndg na mawazo yko !!!.
  9. CasparyTz

    Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

    Bora viroba vilipofungiwa maana naona giza tu [emoji125]
  10. CasparyTz

    Ali Kiba na studio AY na muziki Diamond muziki studio na biashara

    Hongera umeandika Uzi mzur unaoeleweka nice !
  11. CasparyTz

    Nimeshangaa mpaka wakati huu Millardayo na Clouds Instagram hawajatangaza kukamatwa kwa Lissu

    Kwenye jahazi mda ule ule walitangaza na Ayo katangaza sema alietoa mada sio msikilizaj wa hiyo redio bhna {aiiseee Tz [emoji119]}.
  12. CasparyTz

    Nimempa ujauzito mamdogo wangu

    Kitu cha wizi kitam sana endelea kutoboa ndg kama mtoto acha azaliwe hana makosa huyo si ulikojolea ndan au sasa ulitegemeaje hahahaaaa chezea mkojo wa moto ww .......
  13. CasparyTz

    Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Lakini c kuna limit yakurusha vitu hewan kwaiyo sizan kama hitakuja kuwa hot sana.
  14. CasparyTz

    Ningeomba Hii iwafikie Woote...

    Unajua wengine Na vikatuni vyao mwanaume anakutumia emoji ya haina hii [emoji1476] jaman wanaume kwel ????? Sio poa bhna.
  15. CasparyTz

    Serious man needed baadae awe mume

    Usinune, ila kwa mtazamo wng we unaonekana n mjanja sasa wanaume wng kuish na wanawake wanaowazid kwa ujanja aiiseee n shda sio Elimu hapana ujanja wa mtaan
Back
Top Bottom