Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Habari za muda huu wana MMU,
Twende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu,
Awali nilitoaga uzi unaosomeka NIMEZAMA KWENYE PENZI LA MAMDOGO WANGU ,
Jamani sitaki kuamini kuwa ni mimi niliefanya mapenzi na mamdogo wangu kwa kile alichoniambia leo,
Nikiwa nimetoka kuoga nikachukua simu yangu ndipo nilipokuta message ya mama mdogo iliyosomeka hivi " Mambo Dola nina ujauzito wako ili sijamwambia mtu yeyote ukipata muda nipigie tujue nini cha kufanya".
Kiukweli wakuu nimechanganyikiwa sana ila nimepata wazo nimwambie nimtumie pesa akatoe mimba manake ni jambo la aibu sana mtoto atakapozaliwa anafanana na mimi kiukweli naogopa sana kwani ninaweza kutengwa na familia ,
Ila binafsi bado namtaka na ninapenda kuendelea kufaidi mbunye yake manake ameumbika sana mama mdogo wangu na siwezi kuachana nae kwani mapenzi anayonipa hakuna anaeweza kunipa,
Naombeni ushauri wenu waheshimiwa , Je nifanye nini ili niweze kumaliza hili tatizo bila ndugu zangu kujua?,
Natamatisha.