Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi wapo ndani (jela) je!?mnanishauli niwafanyeje!?
Hakuna chuki ya aina yeyote ile bali ni misingi na sheria(matakwa)ya dini ndizo zinazo amrisha mwanamke kuwa katka mzingira ya namna hyo ila unapaswa kujua kuwa hakuna mtu anae thamininiwa kama mwanamke ktk dini ya kiislaam...inshaallar kwa leo mi naona niishie hapa..!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.