avogadro78
Member
- Feb 13, 2014
- 76
- 9
Museveni kaza buti najua yatakukuta ya Mugabe
Huu upumbavu wa kuwafunga watu maisha just because they are gay lazima ukomeshwe,kata misaada,ban visa weka na vikwazo hawa waafrica wajinga walale njaa...lazima mkubali la sivyo yo ll goin to suffer.
mkuu vipi watu wanagonga ngozi nini.......
When it worked to their advantage, the British legislated against gays in Uganda and other African countries. Now that Ugandans democratically did the same for their society interests, the British are up in arms against what they originally stood for. It is never what they say!. Tomorrow expect them on rights for one to marry a Dog! Just because some white fellows like it never makes it right!.
sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.
Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.
ndo hivo ndugu, kuna mwanazuoni mmoja alisema "if you stay neutral in a situation of injustice, you have choosen the side of an oppressor". kwa kukaa kimya kwetu, tumeshachagua kuunga mkono ushoga.bongo vipi maana kila kitu huku ni IMF kuanzia barabara, visima ,madaraja ina maana ss tumekubali kulana midume kwa midume au mijike kwa mijike...daaaaaah hichi kimya cha bongo kina nitisha sana.......maana kwa waislamu ukienda kuposa mwanamke then mwanamke ataulizwa kame amekubali au la....akiitika ndio au akikaa kimya inamaanisha amekubali......Sasa kwa hii ishu ya ndoa za jinsia moja TZ imekaa kimya kumaanisha kwamba imekubali...
Kiranga mbona unarudi mule mule, unadhani hiyo sheria waloiweka maana yake nin! kwan mtu atakamatwa bila kuonesha mambo hayo hadharani? hawawez kukamata watu bila wao kujidhihirisha kuwa ni mashoga..Kwa vinchi nchi vyetu hivi ambavyo hata demokrasia ya vyama vingi vimekubali kwa kutishiwa kutopewa misaada habari kama hiyo unayoisema wewe ni kazi kuikubali.
Nchi zinajidai zinafuata demokrasia na haki za binadamu halafu hapo hapo zinaminya haki za hawa mashoga.
Hizi habari za kupinga ushoga ndizo zinawapa nguvu zaidi, wanapata "victimhood status".
Wangewaacha tu wafanye wanavyotaka in private, piga marufuku any public display of affection that is not in accordance with "African traditions", whether iwe gay or straight (that includes straight couples kissing in public and gay parades) lakini waachie watu wafanye wanavyotaka in private.
mbona unarudi mule mule, unadhani hiyo sheria waloiweka maana yake nin! kwan mtu atakamatwa bila kuonesha mambo hayo hadharani? hawawez kukamata watu bila wao kujidhihirisha kuwa ni mashoga..