Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

Unasubiri nn sasa?kakuweka wazi sepa,hujazaliwa nae,wa kwako yupo usilazimishe usipotakiwa!
 
Maisha ya ndoa ni zaidi ya uyajuavyo wengine wanaishi kama paradiso wengine full majanga ......eeeh Mungu mwenye rehema wakumbuke basi na wale ndoa zao zimekuwa kilio/full majanga.
 
Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.
Nisaidieni jamani.
Tutafutane basi, hata mm mke wangu wamechukua.
 
Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.

Taratibu chunguza na unaweza ukamshukuru baadae kwa kufanya uamuzi mzuri kwako na kwake!
 
Mi nilidhani kaibiwa gari na vitu vya ndani kumbe kajiiba mwenyewe
 
ndio ni makubaliano baada ya pande mbili kuridhia, sisi hatuwezi kumlazimisha mtu kuendelea kuwa na wewe,
 
"Tulipo endelea, tuliwaona maelfu ya watu kwenye
mateso,Wakati roho inapo mwona Bwana,
zilijitahidi kumfikia kwa mikono isiyo na
ngozi.Nilimwona mwanamke aliye anza kupiga
makelele alipo mwona Bwana Yesu. Alilia, "Bwana
tafadhali nirehemu! nitoe mahali hapa!" Alikuwa
akiteseka sana na aliunyoosha mkono wake kwa
Bwana.Aliendelea kumwomba Bwana amtoe eneo
lile hata kwa sekundr moja.
Alikuwa yuu uchi kabisa na alifunikwa na tope.
Nywele zake zilikuwa ni chafu na minyoo ilikuwa
ikijongea mwilini mwake .Alijaribu kuiondoakwa
mikono yake lakini kila alipo mwondoa mmoja
mingine ilijizisha zaidi.Minyoo ilikuwa na urefu
karibu inchi 6-8.Neno la Bwana linasema katika
Marko 9:44, "Ambamo humo funza wao hafi, wala
moto hauzimiki."
Ilikuwa ni ya kutisha sana kumwona mwanamke
huyu na kusikia kilio chake kwa jinsi minyoo ile
kwa hasira ilivyo kuwa inaila nyama za mama
huyu. Kulikuwepo na bango la chuma lililo kifuani
mwake ambalo lisingeweza kuharibiwa na moto.
Lilisomeka , "Nipo hapa kwa ajili ya Uzinzi." Kwa
jinsi ile ile ya dhambi yake, mwanamke huyu
alilazimishwa kufanya uzinzi kuzimu na nyoka wa
kutisha mnene..Nyoka huyu alikuwa na miiba
mikubwa kuuzunguka mwili wake, ni kama ya
uerfu wa inchi 6-8 hivi.Nyoka humwingia mama
hyu sehemu zake za siri na kusafiri hadi mwilini
mwale hadi kwenye koromeo lake. Nyoka alipo
mwingilia hivi, alianza kulia kwa makelele .
Alimwomba Bwana kwa nguvu sana amtoe eneo
lile, "Bwana, nipo hapa kwa ajili ya uzinzi,
nimekuwepo hapa kwa miaka 7, tangu UKIMWI
ulipo niua. Nilikuwa na wapenzi sita6, na nipo
hapa kwa ajili ya uzinzi." Kule kuzimu alitakiwa
kuirudia dhambi yake tena na tena.
Hakuna kupumzika usiku na mchana, akiteseka
kwa jinsi ile ile kila mara. Alijaribu kuunyoosha
mkono wake kwa Bwana, lakini Bwana
alimwambi, "Blanca, kwako tayari umechelewa.
Minyoo itakuwa ni kitanda chako, na minyoo
itakufunika." (Isaya 14:11) Wakati Bwana alipo
sema maneno hayo, blanketi la moto lilimfunika,
na siku mwona tena."
TUACHE ZINAA TUFUNGE NDOA NI UJUMBE KWA
VALENTINE DAY
Mtumishi watu watu hawasomi hii kitu labda jaribu kuwawekea picha
 
Weep not child. Such us life.

Wipe off the dust and move on.

You are down but not out.
 
Huo ni upande mmoja tumepata taarifa, unawezakuta wakati akiwa huko 'masomoni' alikuwa analeta nyodo halafu kilio anakuja kuleta humu. Pole lakini huna chako hapo tafuta njia nyingine.
 
Wanaume hamueleweki kama papuchi tu
mwanamke golikipa mna ona mzigo make mnaombwa hadi hela ya kiberiti
mwanamke mwenye kipato wa kusaidiana nae maisha mna mnamuona ishu
hivi mnatakaje???!!?

Tatizo ni haya mapinduzi mnayoyafanya kwa mfumo dume. Mkishakuwa na kipato kupita mume inakuwa nongwa na kutaka kupora majukumu ya mume!
 
Kwani we na mmeo dini gani nafasi yako bado ipo utabakia kuwa mke mkubwa na mwenzio atakua mke mdogo
 
Hapa ndiyo mahali nikifikiria wanaume huwa siwaelewi. Achana na mambo ya wanaume anza upya kwani lazima uish na mwanaume acha kuumiza moyo

Achana na mwanamume na uachane na kitu natural!
 
Tatizo ni haya mapinduzi mnayoyafanya kwa mfumo dume. Mkishakuwa na kipato kupita mume inakuwa nongwa na kutaka kupora majukumu ya mume!

Mapinduzi mshayafanya wenyewe wanaume mmekuwa kina matonya full kuomba omba....
 
Back
Top Bottom