Recent content by Cascos

  1. Cascos

    Hizi ni hela za kweli au fake? Mbona nyingi hivii

    Habarini jamvini, Leo katika pita pita zangu YouTube nimekutana na video ya wimbo wa msanii Moni Centrozone unaokwenda kwa jina la 'MIHELA'. Kilichonifanya nikaja na uzi huu ni zile pesa zinazoonekana kwenye ile video, ni nyingi saaana kiasi kwamba kama ni zake basi ni miongoni mwa wasanii...
  2. Cascos

    Upepo na hewa ni kitu kimoja au vitu tofauti?

    Fid Q aliwahi kusema maneno haya kwenye mojawapo ya nyimbo zake, "Ni vema kujifunza mengi sio kujua kila kitu" na mie kwa kulitambua hilo ningependa kujuzwa kuhusu upepo na hewa. Je, ni kitu kimoja au vitu tofauti? Nini chanzo cha upepo na hewa?
  3. Cascos

    Themi, Arusha: Afisa Tarafa apiga marufuku wakina mama kubeba watoto mgongoni na kwenda nao Sokoni

    Afisa tarafa wa Themi Arusha Felician Mtahengerwa amepiga marufuku wakina Mama kubeba Watoto mgongoni na kwenda nao sokoni. _ Amewataka kina Mama wote wenye Watoto waajiri Wasichana wa kubaki nyumbani na Watoto hao “Hatuamini kwamba Mama huyo atashindwa kupata elfu 30 ya kumlipa Msichana wa...
  4. Cascos

    Umuhimu wa blogs, websites na mobile apps kwenye biashara

    Habarini jamvini, Leo ningependa tuongelee kidogo umuhimu wa blogs, websites na mobile apps kwenye biashara. Biashara nyingi ndogo na za kati hufa ndani ya mwaka wa kwanza hadi mwaka wa tatu tangu kuanzishwa kwake. Kuporomoka hadi kufa kwa biashara hizo ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
  5. Cascos

    Hallelujah ya Diamond Platnumz imemfikia Mr Bean

    Nyimbo ya Diamond Platnumz "Hallelujah" imemfikia mchekeshaji maarufu duniani Rowan Atkinson a.k.a Mr Bean. Tazama / sikiliza remix ya 'Hallelujah' kutoka kwa Diamond Platnumz akimshirikisha Mr Bean. Download mp3: http://bit.ly/2wx7Ple Download our app: http://bit.ly/2yojmsf For more info...
  6. Cascos

    Line za uwakala za tiGO Pesa, M-Pesa na Airtel Money zinauzwa

    Habarini za muda huu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, line za uwakala zinauzwa kwa yoyote anayehitaji. - tiGO Pesa (3) - M Pesa (2) - Airtel Money (2) Bei ni 150,000 (kwa kila moja), Mahali zilipo ni Dodoma. ------- UPDATES --------- - tiGO Pesa zimebaki 1 - M Pesa imebaki 0 - Airtel...
  7. Cascos

    Mzungu ni nani?

    Habarini wanajamvi, Watu wengi tumekuwa tukiishi kwa mazoea bila ya kuwa na udadisi kwa vitu tunavyofanya au hata kusema kila siku, yapo maswali mengi amabyo mtu anaweza kujiuliza kwa mfano: nini chanzo cha upepo? na vitu vingine vinavyofanana na hivyo lakini kutokana na uvivu wetu wa kufikiri...
  8. Cascos

    Kipi bora, kuwa Tajiri Mjinga au Maskini Mwerevu

    Habarini wanajamvi, Hivi unahisi kati ya kuwa maskini mwerevu na tajiri mjinga kipi kina afadhali..!!?
  9. Cascos

    Mbunifu wa mitindo wa kimataifa, Sheria Ngowi azindua mobile application yake

    Sheria Ngowi sio jina geni kwa watu ambao ni wapenzi na wafuatiliaji wazuri wa mitindo nchini Tanzania na dunia nzima, hivi karibuni mbunifu huyo wa mavazi amezindua mobile application yake ambayo mpaka sasa inapatikana kwa play store. Sheria Ngowi – Програми Android у Google Play Mobile...
  10. Cascos

    Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma

    Habarini wana jamvi, Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma. Kipo maeneo ya airport mkabala na Chako ni Chako, mlango wake unatazama uwanja wa ndege. Pia kuna kibanda (removable) kinachohamishika kipo maeneo ya Kilimani (chinyoya) karibu ukumbi wa Kilimani, Uzunguni Dodoma nacho...
  11. Cascos

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtwara kwa wamachinga
  12. Cascos

    Chanzo cha upepo

    Mawimbi ya bahari yanasababisha upepo au yenyewe ndiyo yanasababishwa na upepo?!
  13. Cascos

    Chanzo cha upepo

    Kwahiyo upepo unasababishwa na nini?!
  14. Cascos

    Chanzo cha upepo

    Ivi hewa ndiyo upepo?! Kama sio tofauti yake nn?
  15. Cascos

    Wauaji walitumia, chai miavuli na hata sumu kuwaangamiza wapinzani

    We habari yako ya kuwezesha watu kupiga hatua kimaendeleo iko wapi?!
Back
Top Bottom