Umuhimu wa blogs, websites na mobile apps kwenye biashara

Cascos

New Member
Oct 13, 2012
0
198
Habarini jamvini,

Leo ningependa tuongelee kidogo umuhimu wa blogs, websites na mobile apps kwenye biashara.

Biashara nyingi ndogo na za kati hufa ndani ya mwaka wa kwanza hadi mwaka wa tatu tangu kuanzishwa kwake. Kuporomoka hadi kufa kwa biashara hizo ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutokuwa na bajeti ya matangazo (kujitangaza).

Njia za matangazo zilizozoeleka ni pamoja na radio, magazeti na social networks. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia wafanyabiashara wanatakiwa kutambua kwamba ili bidhaa au huduma wanazotoa ziwafikie watu wengi zaidi ni vema wakitumia blogs, websites na mobile apps kwenye kutangaza biashara zao.

Umuhimu wa kutangaza kupitia blogs, websites na mobile apps kwenye biashara ni:

1. Ni bure
- Ni rahisi mfanyabiashara kuwa blog yenye information zote kuhusu yeye na biashara yake kwa ujumla kwani kumiliki blog ni bure.
Kwa wale ambao hawataki kumiliki blog wanaweza kuwasiliana na wamiliki wa blogs zinazotembelewa sana na watu kwa ajili ya kujitangaza (charges may occur). Mfano: MillardAyo, Bongo5 na BlackMutu

2. Kupata wateja wapya
- Mabadiliko ya teknolojia yamefanya kizazi za vijana wengi na wazee wachache kutumia muda wao mwingi kwenye mtandao. Hivyo basi ili kuwa recognized nao ni vema kumiliki au kutumia websites (yako / sio yako) ambazo pia zinatembelewa na watu wengi kujitangaza kwani kwa kutumia njia hiyo unaweza kupata wateja wapya.

3. Kuwa tofauti
- MillardAyo ni mtangazaji / mjasiriamali ambaye kupitia yeye unaweza kumuelekeza mtu progress ya kuelekea success. Haikuwa rahisi kuwepo mahali alipo lakini alifika pale kutokana na KUWA TOFAUTI na watangazaji wengine tuliowazoea, yeye sio mtangazaji wa kwanza Tanzania lakini yupo tofauti na watangazaji wengi kuanzia uwasilishaji wa habari na hata kuwa on time kwenye matukio mengi yanayotokea.

Huo ni utofauti lakini kumbuka MillardAyo anatumia social networks almost zote kufikisha habari huku akiongezea Mobile App yake ya MillardAyo ambayo inapatikana kwenye play store. Watangazaji / wafanyabiashara wangapi watumia njia hii kujitangaza??

Choice is yours ewe mfanyabiashara

Kwa mahitaji yako ya

- Kutangaziwa biashara kwenye social networks 'as sponsored ads' kwenye (facebook, instagram na twitter).
- Kutengenezewa blog, website au mobile app.
- Kutangaza biashara yako kwenye Google 'as google ads'

Unaweza wasiliana na Alvial Company kupitia
• Instagram @Alvialtz
• Facebook @Alvialtz Company
• Mobile # +255 714 514 460 & +255 759 688 859

Alvial Company is your partner in Digital Marketing
 
Back
Top Bottom