Recent content by Carla

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hidden in Einstein's Math: Faster-than-Light Travel?

    Ni wazo tu la uwezekano wa kuwa na universes zaidi ya moja. Unaweza kuangalia hapa;
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hidden in Einstein's Math: Faster-than-Light Travel?

    Makanyanga, nimesoma ulichoniambia nisome. Nimeona kinachozungumziwa ni galaxy na umbali wake kutoka kwenye galaxy yetu. Nilichokisoma hakijabadili sana nilichoandika hapo awali isipokuwa nimegundua wakati naandika nilifanya kosa kubwa sana, kwani kichwani nilikuwa nawaza universe wakati...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hidden in Einstein's Math: Faster-than-Light Travel?

    Siongei neno mpaka nitakapofanya ulichonielekeza mkuu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hidden in Einstein's Math: Faster-than-Light Travel?

    Makanyaga, nakubaliana na wazo lako la kuwa inawezekana kutokana na theory ya Multi universe, mwanga uliotufikia 32 billion light years away hautoki kwenye universe yetu. Ila naona kuna vitu vingine vya kufikiria: 1. Kama observation kutoka kwenye hizo nyota itaonesha red shift maana yake hizo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

    Mkuu nimeipenda sana hiyo escape plan yako. Iko very scientific. Kuhusiana na huo msitu, mimi nilishafika huko na nilifanikiwa kuwaona hao kuku weusi. Kitu ambacho nilifikiria baada ya kuwaona ni kuwa hao wanaweza kuwa kuku wenye feature tu zinazoendana na hayo mazingira kama ilivyo kwa wale...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Aida Khenan: Kama sikususia Uchaguzi siwezi kususia matokeo, CHADEMA iliniteua nikashinde na siyo kushiriki Uchaguzi

    Huyu ndiye Kiranga niliyemfahamu wakati najiunga JF. (free thinker)
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

    1. Kwamba kila wakati mbwa anapokuwa amemuona chatu ni la zima awe amekutana na huo mng'aro hata kama hakuna jua? 2. Kwanini mbwa ang'ang'anie kwenda kushangaa huo mng'aro? 3. Kwanini mbwa asivutiwe na chakula badala yake avutiwe na kutaka kujua huo mng'aro ni kitu gani? 4. What's so special...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

    Unailezeaje ile habari ya kwamba mbwa akimuona chatu huwa anajipeleka kwenyewe kwa chatu? Tunaambiwa kwamba hata ukijaribu kumzuia mbwa huyo huwa na hali ya kulazimisha kwenda kwa chatu. Je, kuna ukweli gani juu ya hili jambo? cc: adden
  9. C

    JamiiForums Tanzania Je, kirusi 'Virus' ni kiumbe hai au la?

    Huo ni muandiko wake. Trust me.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, kirusi 'Virus' ni kiumbe hai au la?

    Sky Eclat, Kuna vitu vingi ambavyo binadamu hatuna majibu yake mpaka leo, naamini kimoja wapo ni "virus". Maelezo yako yameweka hilo wazi. Kwenye hizi nyanja uko vizuri mkuu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, kirusi 'Virus' ni kiumbe hai au la?

    You sound like Papa Mobimba. Asante kwa elimu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

    Watu wa muziki utawajua tu. Asante kwa huo wimbo Original. Niliwahi fikiria kuutafuta huu wimbo baada ya kuusikia ule wa J. Cole ila nikajikuta nimesahau.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tyson alikuwa anabebwa, overrated

    Nilitaka ujue kuwa nimekushangaa sana kwa kitendo chako cha kubishia world records. Naomba nisiseme zaidi.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tyson alikuwa anabebwa, overrated

    Kwa jibu kama hili, naomba niishie hapa kufuatilia uzi wako.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

    Asante kwa updates mkuu. Keep on posting
Back
Top Bottom