Recent content by Careboy wamuntere

  1. C

    Kigogo TCAA ang'ang'ania Ofisi

    Nasikia huyu bwana manongi ana vimwana zaid ya wawili ambao hawaguswi, kuna moja muhindi na mwingine mswahili na wote wapo idara moja. Muhindi alipandishwa cheo baada ya kumridhisha king'ono zaid ya yule mswahili, kilichomharibia mswahili aliolewa kwa hiyo ikawa anapata defence mechanism tu, lkn...
  2. C

    Kigogo TCAA ang'ang'ania Ofisi

    Hivi huyu kigogo manongi si yule alimpandisha cheo binti mmoja wa kihindi hapo tcaa kisa rushwa ya ngono? Binti mwenyewe nasikia hata hajiwezi. Sijui nchi hii tunaenda wapi.
  3. C

    Kigogo TCAA ang'ang'ania Ofisi

    Hivi huyu kigogo manongi si yule alimpandisha cheo binti mmoja wa kihindi hapo tcaa kisa rushwa ya ngono? Binti mwenyewe nasikia hata hajiwezi. Sijui nchi hii tunaenda wapi.
  4. C

    Afanye nini dada huyu?

    kwani yule binti mwanzoni wakati anajiingiza kwenye ngono hakujua huyo bwana ni muislamu?, nashauri kama bint hayuko tayari kubadili dini atafute namna ya kuishi na mtoto vizuri, au la kama hamna jinsi akae na mzazi mwenzake wayajadili vyema kwa utulivu kuhusu mtoto, naamini hekima ikitumika...
  5. C

    Sheikh aandaa kongamano la kitaifa

    sasa wewe unapoenda kwenye kongamano ni lazima uvae kanzu au hijabu? mbona sijaona kwenye thread kama kavitaja vitu vya kuvaa.? jitahidi kuwa na busara mzee mi nadhan aliyepost kapost kwa nia njema ila wewe unataka kuingiza ukereketwa jambo ambalo sio zuri.
  6. C

    Sheikh aandaa kongamano la kitaifa

    umenza na busara ukamalizia na uharo, angalia wote waliokoment hapo halafu ujiulize kama zimetimia au vp.
  7. C

    Sheikh aandaa kongamano la kitaifa

    Kiukweli nimefurahi kwa koment zote kuhusu hii thread, kwenye masuala ya msingi tusimame pamoja regardless nani kasema tutafika pema.
  8. C

    Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

    Mi nashangaa unadai ushahidi wakati wewe umebaki kusema umeshuhudia, sasa tufanye hivi lete huo ushahidi kwanza ili tuone kweli siyo propaganda, kwa sababu hata mimi huwa nasali kanisani najua kampeni zinazopigwa kuhusu CDM
  9. C

    Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

    Kwani sisi cdm mbona tunagawa vipeperushi makanisani halafu hamsemi? tatizo ni lenu sio letu.
  10. C

    Naomba kujua

    Unbehavioural change.
  11. C

    Arusha yazizima baada ya Mbowe kuhutubia

    ndg vp mbona unakuwa mkali?
  12. C

    Kumbadiri rafiki kuwa mpenzi wako.

    inategemeana na urafiki wenu uko vipi, lkn inawezekana kabisa kama utamuonyesha kwa dhati kwamba mahusiano unayoenda kuanzisha yana nia safi.
  13. C

    amenisihi nisiseme, lakini roho inaniuma

    Baba hakosei kwa mtoto, kwani hata wewe ulikuwa na makosa kwenda guest na mtoto wa watu, ujue ukimwambia mama yako ndoa inavunjika na amani ya ndani ya nyumba yenu haitakuwepo, cha kufanya ni wewe kama una ongeaga story na dingi yako, jitahidi kumshauri abadili tabia kama mtu mzima inamshushia...
  14. C

    Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

    Kaka uwe unaangalia basi na vyombo vya habari ili usiwe mdaku, unajua ni aibu sana kuongelea kitu ambacho kila siku watu wanakisemea na kufafanua, naomba nikuope taarifa juu ya kukatikax2 umeme, ni kwa sababu hali ya hewa wametangaza kwamba kunaweza kuwa na mvua kubwa ambazo zinaweza zikaleta...
  15. C

    Kuvuja siri & kauli ya Msajili vyathibitisha ukweli wa mtonyaji serikalini kuhusu vifo mikutanoni

    Tatizo lako unafananisha ofisi a kiraia na za kijeshi, sasa kwa taarifa yako jeshini wakati mwingine unaweza kuchukuliwa hata mkeo hajui umeenda wapi, na hata wewe mwenyewe usijue unaenda wapi, unapata maelezo mbele kwa mbele. hilo ndo jeshi baba, kama ulikuwa hujui, kazi ya kuchokonoa kwamba...
Back
Top Bottom