Kigogo TCAA ang'ang'ania Ofisi

Kigogo TCAA ang'ang'ania Ofisi

Kuna habari nilipashwa, kuna kamishna mmoja TRA muda wake uliisha; yeye akajua kama kawa kama dawa wataongeza ungwe ya pili...alipopewa barua aachie ofisi kaomba wampe miezi kadhaa aweke data sawa...miezi imeisha jamaa anaendelea kwenda job

Walichofanya walibadili kitasa...alichokaje....si mnajua mishahara yao ya milioni 15 kuachia ngazi ni ngumu saaana...

Huyo alikuwa naibu kamishna mkuu, anaitwa P. Luoga.
 
inashangaza wenye nafasi nafasi nzuri NA KUBWA NDIYO Wenye kung'ang'ania ofisi, mamlaka husika ziko wapi? Kuchukua hatua? Hao wanaojiita OFMA? Wako wapi kufichua ufisadi huu ambao unaota mzizi?
Hao wapo kwa watu ambao hawana tija na baada ya kugundua vijana wengi wanapenda hoja zisizo na mashiko kama Bijou afumaniwa
 
Last edited by a moderator:
Kuna habari nilipashwa, kuna kamishna mmoja TRA muda wake uliisha; yeye akajua kama kawa kama dawa wataongeza ungwe ya pili...alipopewa barua aachie ofisi kaomba wampe miezi kadhaa aweke data sawa...miezi imeisha jamaa anaendelea kwenda job

Walichofanya walibadili kitasa...alichokaje....si mnajua mishahara yao ya milioni 15 kuachia ngazi ni ngumu saaana...
Sijui inakuaje kwa salary hiyo wanakuwa wagumu kuachia kazi wakati wamedumu kazini muda mrefu, tatizo watu wanaingiza hela kibao alafu hana income generating activities, kwa mshahara kama huo kwa mtu mzima anakuwa na ofisi yake nzuri na shughuli kibao za kufanya na kusaini cheque ataendelea kama shida ni madaraka. Wakati mwingine maisha yetu walalahoi yanakuwa kwa style ya "early warning" hivyo mtu unakuta target yake akijenga nyumba yake moja au mbili na kausafiri plus frem ya duka hata kama ataingiza mwekundu rohoni kwatu kama ameingiza 30 million
 
Kama JK alikatalia ikulu 2010, Manongi anakosa gani kukatalia TCAA??? ndo TZ tunavyoishi
 
Kung'angania ofisi hakuna uhusiano na mshahara...hao wenye mishahara minono ndio wasiotaka kusahafu; wenzangu na miye kima cha kati na cha chini huwezi kuwa na jeuri ya kuendelea kwenda kazini; nani atakuruhusu???

Angalia makatibu wakuu sijuhi wakurungenzi, sijuhi ma VC wa vyuo, asilimia kubwa wakistaafu wanaongezewa miaka kadhaa as if hakuna wa ku wa replace...

Kwa kweli hii hali ikomeshwe ili tuweze kutengeneza ajira mpya kwa vijana...hakuna kuongezeana muda...ukiona unakaribia 60 get prepared...tena ingekuwa amri yangu hakuna hata kupewa vyeo vy kuteuliwa baada ya kustaafu...tuna tatizo la ajira kwa vijana tuache kubeba wazee....

Inabidi wafanyakazi wa serikalini wapewe mishahara mizuri ili kuwafanya wakistaafu wawe na njia mbadala ya kuishi.Tatizo kubwa linakuwa watu wanakosa zile pesa za rushwa ambazo ndiyo nyingi na sababu siyo zao kihalali zinatumika vibaya.
 
Mi kuna siku nilikuwa na discuss na ndugu yangu mmoja kuwa inakuwaje mtu anapata 15 m na malupulupu juu afu afanani na hicho kipato...alinambia eti hizo ela zina mgao mrefu; hizo post ni za mishe mishe hivyo kama uwakatii watu part ya mshahara wako ndio hivyo ikifika ku re new unashangaa wewe unaambiwa serikali imekataa kuongeza mkataba...unabaki kung'ang'nia ofisi huku unashanga wenzako kila muda unapoisha wana renew...

Wewe ushangai bosi wa taasisi anapata 25m; 15 m wakati katibu mkuu wa wizara husika mshahara haufiki 5m....think....

Sijui inakuaje kwa salary hiyo wanakuwa wagumu kuachia kazi wakati wamedumu kazini muda mrefu, tatizo watu wanaingiza hela kibao alafu hana income generating activities, kwa mshahara kama huo kwa mtu mzima anakuwa na ofisi yake nzuri na shughuli kibao za kufanya na kusaini cheque ataendelea kama shida ni madaraka. Wakati mwingine maisha yetu walalahoi yanakuwa kwa style ya "early warning" hivyo mtu unakuta target yake akijenga nyumba yake moja au mbili na kausafiri plus frem ya duka hata kama ataingiza mwekundu rohoni kwatu kama ameingiza 30 million
 
2010..Jk mwenyewe alisema hatoki ikulu hata kwa gurunet.
Mwachen huyo amalizie uzee wake
 
Okay...so its true...nilizipata hizi kijiweni; nikacheka ingawa sikuwa sure kama ni kweli au porojo...

Wanasema eti alibaki anashangaa na kulalamika 'jamani tunafanyiana hivi kweli?'

Huyo alikuwa naibu kamishna mkuu, anaitwa P. Luoga.
 
Hivi huyu kigogo manongi si yule alimpandisha cheo binti mmoja wa kihindi hapo tcaa kisa rushwa ya ngono? Binti mwenyewe nasikia hata hajiwezi. Sijui nchi hii tunaenda wapi.
inatakiwa uwe na moyo wa chuma kustaafu kazi tcaa ni mojawapo ya taasisi ya serikali inayolipa vizuri kuliko hata bot jumlisha na safari za nje kila wiki. Dereva tu wa std 7 anapata net laki 9- ceo siyo chini ya ml 10. We utastaafu kweli kwa hiari?
 
Hivi huyu kigogo manongi si yule alimpandisha cheo binti mmoja wa kihindi hapo tcaa kisa rushwa ya ngono? Binti mwenyewe nasikia hata hajiwezi. Sijui nchi hii tunaenda wapi.
inatakiwa uwe na moyo wa chuma kustaafu kazi tcaa ni mojawapo ya taasisi ya serikali inayolipa vizuri kuliko hata bot jumlisha na safari za nje kila wiki. Dereva tu wa std 7 anapata net laki 9- ceo siyo chini ya ml 10. We utastaafu kweli kwa hiari?
 
Kung'angania ofisi hakuna uhusiano na mshahara...hao wenye mishahara minono ndio wasiotaka kusahafu; wenzangu na miye kima cha kati na cha chini huwezi kuwa na jeuri ya kuendelea kwenda kazini; nani atakuruhusu???

Angalia makatibu wakuu sijuhi wakurungenzi, sijuhi ma VC wa vyuo, asilimia kubwa wakistaafu wanaongezewa miaka kadhaa as if hakuna wa ku wa replace...

Kwa kweli hii hali ikomeshwe ili tuweze kutengeneza ajira mpya kwa vijana...hakuna kuongezeana muda...ukiona unakaribia 60 get prepared...tena ingekuwa amri yangu hakuna hata kupewa vyeo vy kuteuliwa baada ya kustaafu...tuna tatizo la ajira kwa vijana tuache kubeba wazee....

Ndiyo tulivyozoeshwa,na ili upate veyo hivyo lazima ukafute viatu vya Mzee vinginevyo utapigwa chini.Siyo wote wanaopata hizo nafasi na hata wale wanaokimbilia kwenye UBUNGE siyo wote wanapata nafasi hizo.

Kinachowachanganya ni namna ya kupata pesa ya ziada ambayo ameizoe na pesa hii mara nyingi ni rushwa kubwa,na ndiyo maana ukiangalia waliosaini mikataba mibovu wengi wao ndiyo hao wanaomaliza mida yao ya kufanya kazi.Ni aibu kwa Taifa.Wenzetu wazungu Wazee wanachuliwa kama washauri lakini badala yeke vijana ndiyo wanamuelekeo wa kutoa ushauri kuliko wazee tuliowategemea.
 
Nasikia huyu bwana manongi ana vimwana zaid ya wawili ambao hawaguswi, kuna moja muhindi na mwingine mswahili na wote wapo idara moja. Muhindi alipandishwa cheo baada ya kumridhisha king'ono zaid ya yule mswahili, kilichomharibia mswahili aliolewa kwa hiyo ikawa anapata defence mechanism tu, lkn muhindi anapeta hadi leo. Kweli huyu babu alikuwa mchafuzi wa taasisi ya umma, ufanisi wa ngo'ono unasababishwa kupandishwa mtu cheo kweli hii nchi tutafika. Na viongozi kama hawa serikali inawachukulia hatua gani, maana wanadhalilisha taswira ya serikali na utumishi wa umma kwa ujumla.
 
Kweli mambo huenda yakabadilika, huyu jamaa alikataa kuwaongezea mikataba watumishi wengi kama alikua Clark of works, msemaji wa mamlaka, madereva wawili ila mmoja mahakama ilimrudishaa, IT Manager. Sasa yeye kama aliona mazuri why hataki kuzika a. Na ana kibaraka wake Rube Luhongole alikua akimpotosha mambo mengi nayeye amebskiza miezi michache ya kumaliza Mkataba ingawa anaonekana mzee zaidi.Walipandikiza mbegu za ubaguzi sasa unawatafuna wenyewe

Kweli kabisa mkuu...tena huyo IT manager namfahamu sana. Nilisikitishwa sana jinsi walivyomfanyia.
 
Naona Waziri wa Uchukuzi ameingilia kati na kumtangaza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TCAA na kuna tetesi kwamba amelimwa barua na kutakiwa kurudisha fedha zote za malupulupu aliyochukua ofisini hapo tangu kuanzia April 1
 
tumstaafishe kwa nguvu kwa kuwa maccm yakikatiwa kitu kidogo yanajifanya yamemsahau ;kama ilivyo
kwa kitilya tra
 
Back
Top Bottom