Arusha yazizima baada ya Mbowe kuhutubia

Sawa kabisa, kazi ya CDM ni moja kukandamiza tu mpaka kieleweka. Naomba niwahakikishie hiyo kata ya daraja 2 tunaichukua hakuna pingamizi.
 
Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania, huwezi kupata majibu hayo. Wenzetu wanaongelea debt crises za nchi zao na dunia, healthcare woes, price of crude oil, rising unemployment numbers, shrinking food supplies... etc etc... sisi national issues zetu ni watoto wa Wassira wahama chama, uwanja wa NMC Arusha umejaa watu, Mwigulu Nchemba anajicheba na wake za watu... ndio national agenda .

Huwezi kuambiwa hapa Mbowe amesema nini Arusha.

Well noted mkuu!
 
sihajawahi kuona mtu anaandika ujinga kama huu ... kwani hiyo fuso ambayo Mh. Mbowe yupo juu yake ipo sehemu gani? ..... Lumumba au nje ya ofisi ya kata ya CDM

sometimes it is better to shut your buccal cavity
In order to hide his buccal cirri
Tehe tehe jf kisima cha burudani
 
Wewe umetumwa na Dr Slaa na Mbowe, unakesha JF kuitetea Chadema, haya nenda Kinondoni mtaa wa ufipa kachukuwe posho yako na viroba.

Ndo nimerudi online bado nimekukuta uko online..................................... huoni tofauti ya wewe kibarua wa nape kwenye Jf, na mimi ninayemtumikia kaisari
 
Mkuu wewe genius sikungamua usanii wa mleta mada.
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
 
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.



Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.


YES, ...we can drive the nation without the impact of 'dead-living' Magamba!
 
Aliwambia wameshindwa kabla ya kupiga kura? Kwishaaaaaaaa cdm. Hiyo ni siri yenu na msimwambie mtu
 
Ndo nimerudi online bado nimekukuta uko online..................................... huoni tofauti ya wewe kibarua wa nape kwenye Jf, na mimi ninayemtumikia kaisari

Wewe kibarua wa Dr Slaa? Umerudi kutoka wapi kuchukuwa viroba.
 
Ingekuwa vizuri hawa viongozi wakuu wa taifa Kichama wanapoongea tusiishie tu kusifia umati wa watu waliojitokeza. Hebu tujuze Mbowe kazungumza nini juu ya uchumi wa nchi yetu,mikakati ya kujikwamua kiuchumi,..na sera nyingine kama kilimo,elimu,ajira na kadhalika. Haya ndio mambo muhimu tunayohitaji kupima uzito wa hotuba za hawa viongozi na sera za vyama siasa. Ni kwa njia hii ndio tutaweza kupima kati ya viongozi shupavu,wenye mipango,wenye sera makini,wakweli..vinginevyo tutaingiza madarakani vilaza,waongo,walafi,wapenda sifa na wabinafsi.
Mleta uzi,Mbowe kwa nafasi yake amesema nini juu ya hayo?

Magamba mnapenda sana kucheza Ngoma ya CDM
Je Mkwe.re jusi Canada ailenda Kupanda Farasi????
 
At times huwa unashangaza sana. Sijui ni kulishwa madudu au kutapatapa ktk harakati za kutafuta nguvutumbo. Sasa akiwa juu ya Fuso, hilo gari bado haliwezi kuwa nje ya ofisi ya Kata au fuso huwa linaruka juu kama wale bundi wenu mliotumiana ktk ule mkutano wa uchaguzi Shinyanga ? Na unayajua hayo maeneo au unazoza tu kuwafurahisha hao wanaowalipa kwa ***** huu ??

Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
 
Who is mbowe..........tanzania tunabumbuzana kwa mambo ya kijinga kabisa you can imaging mbowe rais lema waziri mkuu nchi itauzwa kweupe.........na makao makuu ya nchi yatahamia kilimanjaro........big problem nadha uelewa wa watanzania umeshuka kwa kiasi kikubwa kweli....tusingejadili upuuzi huu kwenye blog kama hizi..................
 
Mmezoea kushawishi ban................................hapa umechemka
Ukiwaogopa kwa hilo hapa utaishi kinyonge sana, maana wao Mods wanajifanya hawawaoni, mimi kwangu ni Fire to fire na Ban kwangu ni healthier.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom