Recent content by captau

  1. C

    Je, kuzikwa na hela ni laana ya marehemu, kufuru kwa Mungu au ni ukengeukaji uliozidi kipimo?

    Upumbavu wa hali ya juu wa ndugu na rafiki wa marehemu.
  2. C

    Mara 100 ujeruhiwe na bastola kuliko mshale

    achana na kitu!koboko(black mamba)yaan akung'ate then ukatize masaa 2?weka mbali na viumbe hai. aisee..
  3. C

    Mbuzi wa Arusha

    hahahaaa!!mbuzi anakula kishada,huyo kama ni beberu anaweza sarandia manzi arif!
  4. C

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    kavu kinyama!madudu gani haya aisee...
  5. C

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    kavu kinyama!madudu gani haya aisee...
  6. C

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    mkuu!imejtahidi kushawishi ila nikama somo limedunda..aproach yake kupambana na madawa hata ungempa jukumu hilo kilaza asingeitumia kamwe,hakuna tabu tusonge mbele tugange yajayo
  7. C

    QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    David ni Arbetos afu prezda amekwenda kinyume na matakwa yao wkt huo kuna conection ya bint wa prezda na mr prezda kpitia monie,wallah austin anashughul pevu japo naamin atawatafuna kiulainii.. Kupitia monie!LEGE ujaliwe nguvu utupie mzigo ipasavyo!ubarikiwe kwa kuleta burudani fundishi
  8. C

    QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    LEGE pole kwa majukumu!nakusalimia tu ndugu yangu.
  9. C

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Kama kawaida!paskal maandishi yako mtu acpokuelewa anapoteaaaa..!
  10. C

    Mzigo umetema: "WADA database hacked by Russians" safi sana

    mtoa uzi umeeleweka!wanaodandia uzi wakati hawakufuatilia Olympic mjin rio na kinachoendelea sasa na migogoro ya hao wakubwa,siyo rahis waelewe ulivyowasilisha udambwi wa huko mbelembele.
  11. C

    Jackson Benty yuko wapi siku hizi?

    walioko arusha wafuatiliaji wa nyimbo za kumtukuza MUNGU..watudokeze..alikuwa arusha miaka kadhaa ilopita
  12. C

    Mohamed Dewij(MO) punguza ulimbukeni

    kama analengo la kuanzisha timu ya MO FC nijambo la kheri ww jamaa.. ikibidi mabilionea wengne nao waanzishe ziwepo nying kama azam!
  13. C

    Ni kweli kunywa bia asubuhi ni uzembe

    hakuna mzembe anaweza kula ngano ya 2500 kwa chupa mzee..
  14. C

    Masharti magumu mtoto aliyepandikizwa betri kwenye moyo

    co rahis hivyo mkuu!kama kuna bandidu litakalojarib hata kumshawishi tu wafanye huo uharifu basi litaisoma namba chapchap!
  15. C

    Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.

    mkuu!watu wameng'ang'ana na mfumo wa chakula wakat ameshawaacha kabsaa..!hapo hamna pongez..hahahaa..
Back
Top Bottom