Ukuda walioifanyia Russia sasa unaelekea ukingoni kwani database Yao wanaume WA kazi wameshaidukua Na wameahidi kumwaga ugali kwa fujo kwani hao the so called World Anti Doping Agency (WADA) wenyewe ndio walitangulia kumwaga mboga.
Sasa wanaume wapo kazini Na this week we are going to see how some WADA tycoons will be in coma.
Wale US PHOBIA mjiandae mabingwa WA IT kutoka Moscow Na St Petersburg watafanya Yao pale akina Serena , Venus Na Bailey watakapoanikwa.
Ujanja kwishnee. [HASHTAG]#teamRUSSIA[/HASHTAG]
Work