Mohamed Dewij(MO) punguza ulimbukeni

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,636
3,620
Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC

Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
 
Kweli ule alioufanya mpaka kukaa chini kavaa suti ni ushamba tu ili aonekane yuko pamoja na wananchi maskini wakati hakuna kabisa bilionea!!!
 
WALA VUMBI BWANA...
KWANN USIMFATE FACE TO FACE UMCHANE NA UMPE USHAURI MZURI KAMA HUU??

FEDHA ZAKE, ACHA AZITUMIE ATAKAVO MZEE

#Chief Eng.

Nimependa sana hili jibu.

Mtu hata robo ya hela zake hafikii, jishauri mwenyewe umzidi.....wabongo bana.
 
shida ni ile ndui tulichomwa nadhani ndio madhara haya sio bure hela zake kukaa chini na suti ni yake tuanze kujadili upuuzi huo...Timu anatoa hela yake awe bilionea asiwe wewe au mimi aitusaidii chochote kuanzisha Timu haikusaidii chochote...
 
Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC

Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Acha kulia kijana,tafuta pesa zako ili ufanye hayo uliyotuelezea.
 
Acha ulimbukeni ili mpira wa bongo ukue wanaitajika watu kama hawa wakina mo
 
mpaka watu wakuamini kwamba jamaa nilimbukeni.....kukuzidi wewe itabidi utumie nguvu ya ziada.......
 
Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC

Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Sasa mbona sioni sehemu ulipo onesha ulimbukeni wa Mo?
 
Kweli ule alioufanya mpaka kukaa chini kavaa suti ni ushamba tu ili aonekane yuko pamoja na wananchi maskini wakati hakuna kabisa bilionea!!!
Umaskini unakusumbua hadi unawachukia wenye pesa zao.
 
Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC

Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Wewe kweli Ki*laza, nani kakuambia timu zinasajiliwa TFF? Halafu akashaisajili TFF ndo inacheza ligi kuu? Unaonekana LIMBUKENI wa hali ya juu halafu unatusi watu wenye dhamira ya mpira wa Tanzania.
 
Roho za kimasikini ndio hizi.
Nadhani ungekuwa tekniko zaidi kuelezea ushamba wa mo.
 
kama analengo la kuanzisha timu ya MO FC nijambo la kheri ww jamaa.. ikibidi mabilionea wengne nao waanzishe ziwepo nying kama azam!
 
Unasajili timu kwanza (I mean jina na vikolombwezo vyake) then unaangalia kwenye ligi wa kumnunua na kuitia jina lako hapo hata simba wakifika bei yake anainunua na kuibadilisha jina la Mo ! Na nyie mikia make mkijua mkimpa timu tu anabadilisha jina
 
shida ni ile ndui tulichomwa nadhani ndio madhara haya sio bure hela zake kukaa chini na suti ni yake tuanze kujadili upuuzi huo...Timu anatoa hela yake awe bilionea asiwe wewe au mimi aitusaidii chochote kuanzisha Timu haikusaidii chochote...
Ahahaaaaah...
Umenifanya nicheke sana mkuu...
Kwakweli huenda ni ile NDUI tunayochomwa..!
 
Duuh.. Ningekuwa mleta thread ningemuomba @invincible aifutilie mbali... Sio kwa michambo hii...
 
Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC

Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Mtu chake buana weee, wakati wewe unafikiria kati ya Mkate au Maandazi ninunue kipi kubana matumizi, mwenzio tayari ameshatumbua Kuku robo tatu na robo kaiacha na anaondoka zake

Wabongo kwa kulalama.......!! Hela yake wewe inakuuma nini? Mbona Boss wa Man City anamiliki timu kibao na zote zinapiga mzigo
 
Back
Top Bottom